MAGAUNI MAPYA NDANI YA DIDA CLASSIC BOUTIQUE YANAKUJA PIA BY NEXT WEEK

Monday, March 10, 2014 6 Comments

6 comments:

 1. Nguo nzuriii mzigo ukifika tuambieeee

  ReplyDelete
 2. usisahau na nguo ndefu kwa sisi tusovaa nguo fupi hasa hizo za kazini. please dida

  ReplyDelete
 3. Jamani mbona ni size ndogo tu au kuna size tofautitofauti? Naomba utuekekeze duka lilipo.

  ReplyDelete
 4. Hsyo magauni kuna na ya watu wanene kiasi?

  ReplyDelete
 5. Dida magauni mazuri sana. Naomba kujua yanauzwa kiasi gani?

  ReplyDelete
 6. TUJUZE SIZE ZA HAYO MAGAUNI WENGINE TU VIBONGE

  ReplyDelete