WAPENZI POCHI IZO ZIMEINGIA 60, 000 TU KARIBUNI DIDA CLASICC BOUTIQUE NA MAGAUNI YAPO HADI XXL KWA WATU WANENE ZIPO KARIBUNI SANA....

Saturday, February 15, 2014 6 Comments

6 comments:

  1. Hongera.hayo magauni ni marefu au mafupi? Nimeyapenda na ni sh ngapi?

    ReplyDelete
  2. Kiukweli viko quality, ila magauni mazuri hayo bei gani? na viatu bei gani?

    ReplyDelete
  3. Sasa haina haja ya kuweka sehemu ya comments km huingii na kuona comments za wadau wako na kuzijibu.nime comments na kuuliza kitu tangu last saturday hujalifanyia kazi.

    ReplyDelete
  4. Tunaomba bei ya magauni dear

    ReplyDelete
  5. Habari Dida, sasa sisi wa mikoani tunapataje hizo nguo jamani? tunaomba mungozo
    Asante.

    ReplyDelete
  6. gauni ziwe kubwa basi Dida maana mimi navaa size 18 nilipita hapo sikupata, jitahidi kuleta nguo kubwa lakini za kidodo mpendwa

    ReplyDelete