AHSANTE MUNGU KWA KITU KINGINE KIPYA....

Tuesday, February 25, 2014 6 Comments

6 comments:

  1. Mashaalah Dida . Nakupokea dada uko juu, unapenda maendeleo na utafika ila punguza mafumbo kwani hao unaowafumbia hawalingani na wewe .Kuwa kaa LEYLA WA MZEE YUSUPH anasema SINA MUDA HUO SINA WA KUKAA KIBARAZNI KUMSENGENYA MTU . WEWE UNAHAMSINI ZAKO ZINAKUENDEA MBIO .

    ReplyDelete
  2. safi sana mamii hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaa naamini nikifikia umri kma wako nami nitakuwa juu kma wewe ...Kila l kheri mama.

    ReplyDelete
  3. Kwanza hongera, ila dadangu kwanza si ujenge uondokane na maisha ya kumtengenezea mwenye nyumba kila siku. Cars are liabilities not assets so focus on something constructive for your future

    ReplyDelete
  4. UNACHEKELEA KIFOWENZIO WANAONYESHA MAJUMBA, WEWE MAGARI, TOA FUNZA KWENYE KICHWA CHAKO DIDA.

    ReplyDelete
  5. Mmejuaje kam hajajenga acheni umbea

    ReplyDelete
  6. huyu dada kumkamata na sembe zake rahisi sana. basi tu kijana anatumwa na wakubwa

    ReplyDelete