MUKE YA MUTU MAMBO YA GUCCI KUANZIA TOP MPK SENDOZ ZIPO DIDA CLASSIC BOUTIQUE KARIBUNI SINA MAKOLE YA SHARI MIE NASAKA CHAPAA.....

Saturday, January 04, 2014 4 Comments

4 comments:

 1. umependeza mke wa kaka . Mungu akujalie viwe vya pesa halali . maana wapenda vya majina wanaambulia pepo ya punda watu . Tena kwa hizo hizo trip za chinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 2. muke ya shetani dida wacha hashuo huna jipya, kauze unga kama jack

  ReplyDelete
 3. Fake fake zone,, unauwezo huo wewe? Unafikir gucci mchezoooo au ni mishauo tuuu!!!!!.lol..watambie washamba wenzioo

  ReplyDelete
 4. mmmh da didauna kijungu huko nyuma hatareeee na unajua kuvaa leyla adhifa kati ya danmak

  ReplyDelete