HII NI STYLE YA ISHA MASHAUZI KUIMBA NA JEANS STEJINI KWA MWAKA JANA JE MWAKA HUU ANA MPYA GANI?..

Thursday, January 02, 2014 4 Comments

4 comments:

 1. Uhalisia wa taarab siku hizi umekwisha yamebaki mauzauza tu hata kama ni modern mi naona wanaoveriact

  ReplyDelete
 2. MASHALLAH ALIPENDEZA KWANI KATOKEZA KIVYAKE .

  ReplyDelete
 3. Eeeeh anakagua gwaride.

  ReplyDelete
 4. hajapendeza toka lini taarabu ikaimbwa huku mtu kavaa jinsi? ushamba tu.

  ReplyDelete