TANGA MOJA NDANI YA TANGA BEACH RESORT. ....

Tuesday, November 19, 2013 5 Comments

5 comments:

 1. DIDA NAKUPENDEA HAPO TU UNA ENJOY NA HIYO NDO NJIA YA KUKUPA FURAHA NA HONEY WAKO NA KUONGEZA MAPENZI NDANI YA NYUMBA ENDELEA KU ENJOY DEAR TAFUTA UKIPATA TUMIA .VUNJA MIFUPA DADA KAA MENO IKO
  ILA TENGENEZA NA MJENGO MOLA AKUJAALIEN

  ReplyDelete
 2. Dida nakupenda sana. Mungu amekupa mume mwema.Pia ninahitaji perfume za uk pls naomba contact zako.Nakukubali sana Dida pia naikubali sana kazi yako.Lov u mmwaaaaaaaaaaaaa.
  From Iringa

  ReplyDelete
 3. haya mbona tanga peke yako leo na tushazoea kuwaona wawili kama mapacha, wapi huby utaendaje tanga peke yako bana

  ReplyDelete
 4. Ndio unaturingishia eeeee ,haya sie twasubiri la hapa dar

  ReplyDelete
 5. Nakupenda sana did a....haya ndo maisha bwana sometimes when u have cash for vacation !!!!

  ReplyDelete