MTANGAZAJI WA PASSION FM NA MUIMBA TAARAB NCHINI NYAWANA FUNDIKIRA AFARIKI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.....

Monday, November 11, 2013 7 Comments

7 comments:

 1. R.I.P Nyawana.tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi.kwa kupitia kifo chako nimejifunza Mengi.Mungu atusaidie tuishi kwa kupendana wapendwa

  ReplyDelete
 2. Innalillahi wainnaillahi rajuun mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon amiin inshaallah

  ReplyDelete
 3. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.... ulipatana nae lakini si mlikuwa mnarushiana vijembe.

  ReplyDelete
 4. INNA LILLAHI WA-INNA ILAIHI RRAJIUUN! Ila dida acha unafki leo hii Nyawana kama mzuri kwasababu Kafa!!?? Kumbuka kashfa na dharau ulizokuwa unazitoa kwa dada wa watu!!?? Ulitakiwa msameheane wakati wote mnapumua sihivyo ufanyavyo sasa!

  ReplyDelete
 5. innalillah wa inna illah rajiuun!!!! nilimpenda sana huyu dada baada ya kuona video zake!!!! mwenyezi mungu tuongozee tufikie mwisho mwema

  ReplyDelete
 6. R.I.P mamaa Nyawana Fundikira wana Tabora tutaimiss sauti yako tamu toka enzi unatangaza Voice Of Tabora

  ReplyDelete
 7. nimejifunza vitu vngi kupitia kwake alisemwa sana na wanaojifanya wa toto wa mjini akujali wala kushindana nao.....pendaneni jamani haswa nyie watangazaji wa taarabu mana kila mtu anajiona yupo juu zaid ya mwenzie hp dida umejifunza kitu kwajinsi ulivyo ishi na marehem mungu ndo anajua....mungu amuweke mahal pema peponi

  ReplyDelete