KITCHEN PART @UBUNGO PLAZA...

Saturday, November 09, 2013 18 Comments

18 comments:

 1. Hi dida,sijawahi kutoa maoni ila leo imebidi 'umependeza sana sana'.fundi wako ni nani?

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe ndio kama mimi kaitendea haki hiyo kichen part

   Delete
 2. mashaalah wanawake kaa wewe mie ndo nawafagilia .Dida umesimama imara unatoka utakavyo na unapendeza hubabaiswi wala hutiswi sio hao wanaokubali waingize goli na wengi kisa wamependa .mwanamke mtafutaji hatiswi na mtu zaidi ya mola na mzai wake na pesa ndo vitavyokutisha .mola akuzidishie

  ReplyDelete
 3. nimekuelewa mama pendeza sana nwunapungua soon utashirik umiss hahahah Team DIDA kati ya danmark

  ReplyDelete
 4. nakupenda dida ts leyla wa adhifa

  ReplyDelete
 5. hapana chezea dida umependeza sana fundi kakupatia na gauni imetulia kwenye mwili na umepungua vizuri penda sana wewe by asha

  ReplyDelete
 6. u luk gud on long clothes...safi.....

  ReplyDelete
 7. mimi kiatu dida mwenzang ntakuja uniazime nikauzie sura, umependeza sana

  ReplyDelete
 8. Kiukweli umependeza

  ReplyDelete
 9. Tuwwekeee picha hats 4 za hiyo harusiiii wajiweka wewe tuuu.,lol...

  ReplyDelete
 10. Umependeza, unajua Dida wewe ni mfano wa kuigwa, hv kwanini usimwambie shoga yako aachane na Diamond naamini kabisa Mungu amemuandalia mume mwema. Mwanamme unaishi nae alafu anaongea kabisa kuwa nimerudiana naye tu China lakini sio bongo. Embu waeleze hawa wadada wanaopenda kujidhalilisha kupitia kipindi chako, mwanaume akikuzingua unaondoka.

  ReplyDelete
 11. umetoka chicha shost.fundi aliekushonea usimuache.nguo imekukaa haswa.ungekuwa unaweka no.ya simu ya fundi ili umpatie wateja

  ReplyDelete
 12. umepungua vizuri kabisa

  ReplyDelete
 13. Ahsanteni sana wapenzi wangu fundi anaitwa ally mwekijazi yupo kinondoni mtaa wa togo namba yake kwa anayetaka 0715583619

  ReplyDelete
 14. umependeza sana dida unaomba utupe namba za simu za fundi wako plz

  ReplyDelete