SISI NI YANGA MASHABIKI WA KWELI.....

Sunday, October 20, 2013 12 Comments

12 comments:

 1. Mlipendeza sana,ao wanaokwambia ucmweke mume wako umo wanataka uwaweke wao au?

  ReplyDelete
 2. umeona enheeeeeeeee Dida .....naipendaje rangi ya kijani ---rafiki ya mazingira, plus Njano ---madini!!!! hata iweje. kwao hao RED droo ni ushindi mana huko mtaani wakati tunaongoza.. heshma ilitawala kipindi cha pili fujo zikaanza ndipo nikajua kumbe YANGA NI TIMU YA WASTARABU. i am proud to be Dar Young Africans Family. FOREVER YELLOW& GREEN!

  ReplyDelete
 3. hahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haibu yenuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. mwenzetu we wa wapi? au niulize umeishia la ngapi, kiswahili lugha yetu ya taifa shida, je za wenzetu si utachapia hadi utuue! NI AIBU SIO HAIBU. ' HAIBU ' YAKO WEWE MSHABIKI WA....

   Delete
 4. simba wanaumeeeeeeeeeeeeeeeee

  ReplyDelete
  Replies
  1. sare kwenu ushindi ama? mbona hamueleweki? hakuna wa kupiga kelele, wametoshana nguvu..mwanume kwa vile katoshana nguvu na Yanga? maskini....SARE USHINDI..HONGERENI BASI. OK BYE!

   Delete
 5. YANGA wamechekelea mimba, mtoto akaliwa na SIMBA!

  ReplyDelete
 6. Yanga
  mmepakatwa aibu! ulikuwa mabao matatu mbele lakini within no time
  yakarudi yote! mlifikiri mtarudisha yale matano kirahisi namna hy! lol!

  ReplyDelete
 7. Simba kapakatwa!!

  ReplyDelete