POLE WEMA KWA KUFIWA NA BABA YAKO KIPENZI MLIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI,MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.

Monday, October 28, 2013 6 Comments


6 comments:

 1. Pole sana wema pamoja na family yako, mungu awatie nguvu katika kipindi iki kigumu,mwenyez mungu amlaze mahala peponi baba yetu abraham sepetu.Amin

  ReplyDelete
 2. Hua nampenda sana Wema no matter people say about her. Pole sana mrembo Wangu . Jamani msiba usikie kwa mwenzio au jirani....maziko link?

  ReplyDelete
 3. Polee sanaaa wema!! Kila nafs itaonja umauti. Tuko pamoja ktk kipindi hiki kigumu amina!. Pili aogwa

  ReplyDelete
 4. Pole sana Wema Sepetu na familia yote ya Sepetu kwa msiba. Mungu awatie nguvu

  ReplyDelete
 5. pole xana mamito mungu akupe subira ktk kipindi hiki kigumu kwani najua uchungu wa kuondokewa na baba.
  nakupendaga xana weye.

  ReplyDelete