PENZI HILI LIMESHAANDIKWA,HATA USIPOWAKUBALI WANAPENDANA MPK RAHA KUKAA KIMYA MAJIBU NI HAYA,NAWATAKIA KILA LA KHERI HAKUNA KINACHOSHINDIKANA CHINI YA JUA.

Friday, October 04, 2013 9 Comments
Na tuwaache walale na Diamond kasema kwenye blog yake acha WATUSHANGAE.

9 comments:

 1. kweli kabisa wawaache walaleeeee

  ReplyDelete
 2. Dida please achana na hizi drama za akina Daimond, tuonyeshe picha zako na mumeo basi coz watu wenyewe hawaeleweki utaumbuka mambo yakigeuka na Daimond mwenyewe haeleweki.

  ReplyDelete
 3. mmmh dida embo angalia picha hspo kuna mapnz jaman domo hana raha kabisa anakaximishwa angdlia picha za wema na domo alf linganisha jipe jibu mwenyewe penny kavunja urafiki kisa domo ngoja domo amwache cjui ata weka wapi sura mmh kweli penny anateseka na penz ladomo maana alitoka paka uwoya kavumilia bora wema almbwaga domo mchafu sana

  ReplyDelete
 4. inshallah tunawaombea waweze funga ndoa,ilo ndio jambo la kheri tunalolitaka

  ReplyDelete
 5. makubwa! dida naomba uwasifie siku ukisikia shehe anachoma ubani, sio huko kuzini! japo wengi wetu tunazini, ila hakuna anayeshadadia uzinifu wetu, kuwa makini kwa allah atakuadhibu, mwache ajitwike fulushi lake mwenyewe, sipo upande wowote, siku zote moyo wa mtu ni msitu! kwa hiyo angekuwa anampenda sana angemuoa kabisa kwa sababu hakuna mwenye kizuizi chochote, mfano mnzuri kwa SHETA! kaoa bado mdogo, yule ndo wakumwagia sifa hizo!

  ReplyDelete
 6. kwanza wamekutana wote waswahili wakiona watamatch.

  ReplyDelete
 7. Hicho kilemba cha Penny kama bibi tarabushi.

  ReplyDelete
 8. YAKOWAPI SASA ATABAKI STORY TU .DIDA MSIJIAMINISHE KUAMDIKA MAPENZI YA WATU KAA NYIE NDO MLOYAPANGA .MIE BWANA WA KUPITA NA HATA AWE MUME SIJISHAUWI . LEO ANALIA NA YASIMINI NA MITO KITANDANI
  UMEKOMESWAJWAE PENI MFJUUUU

  ReplyDelete