NI SWAG TU......

Tuesday, October 08, 2013 6 Comments

6 comments:

 1. Bwana mi naona hiyo style ya weave fupi ni zuri, zile ndefu big no..jamani.acha uwe wewe! Agh yale marefu kwa mtu yeyote huwa full fake! Si km Muhindi!! Mzungu! Mchina nk. Bora fake kidogo tu ya kimadoido...poa

  ReplyDelete
 2. Dida hizi nguo nzurii sanaaa nimezipendajeee dukani kwako zipoo?

  ReplyDelete
 3. Watakukomaa mwaka huu, lol... Unawakimbizaaa pendeza sana mamii!!! Mimi love uu

  ReplyDelete
 4. dida mpnz you look so young umepungua vizur usinenepe tena love you mingimingi.

  ReplyDelete
 5. Tuambie wadau wako umetumia nn kupungua jaman kizur tugawane tunailiza mno hutujib tujal basi jaman

  ReplyDelete
 6. mnaotaka ushauri kuhusu kupungua kwangu nafanya sana mazoezi na nimepunguza kula mno uwe na nia kuwa unataka kupungua na utapungua tu sina la ziada wapenzi na kuhusu dawa wengi wananitumia email dawa zipo ila mpk ujue madhala yake kabla ya kunywa nikisafiri nitajaribu kuwaulizia zilizo bora zaidi.

  ReplyDelete