NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUNIFIKISHA SIKU YA LEO, KUNIPA NGUVU NAPAMBANA NA KILA AINA YA MISUKO SUKO ILA YOTE NI YOTE YEYE NDIYE MUWEZA WAKILA JAMBO HAPPY BIRTHDAY TO ME....

Tuesday, October 22, 2013 13 Comments

13 comments:

 1. HAPPY BIRTHDAY TO YOU GIRL MANY HAPPY RETURNS AND I LOVE YOUR STYLE

  LOVE YOU!

  JACKIE

  ReplyDelete
 2. Happy Birthday To You Baby! God Be With You

  ReplyDelete
 3. Happy birthday 2 u Dida my love

  ReplyDelete
 4. HAPPY BIRTHDAY SIS DIDA LOVE U,MUNGU AKULINDE KWA KILA JAMBO FATY HAPA

  ReplyDelete
 5. Happy birthday to you mungu akupe miaka Mia naneeee mbelee

  ReplyDelete
 6. HAPPYBIRTHDAY MY MASHAMMMM LOVE YOUUUU BABYYYYYYY...... ALLAH AKUPE UMRI MREFUU MWANANGUUU MIE.

  ReplyDelete
 7. Happy birthday...to u.

  ReplyDelete
 8. Happy birthday dida wangu mungu akupe umri mrefu nakupenda sana sana

  ReplyDelete
 9. DIDA KIUKWELI MUONEE HURUMA G SITAKI UNIJUE MIMI NI NANI ANATESEKA SANA AKILEWA ANALIA ANAKUKUMBUKA MNO SEMA UMEOLEWA MWENYEWE YUKO TAYARI KUKURUDIA HATA KESHO ANATIA HURUMA KAMA BINADAMU WA KAWAIDA NAMUONEA HURUMA ANATUULIZA HIVI MMEMUONA DIDA JAMANI HURUMA SANA NASEMA KWA UCHUNGU UNGEKUWA HIJAOLEWA NINGEFANYA JITIHADA KUKURUFISHA JAMANI AISEE MWANAUME MWENZETU ANAUMIA MNO DIDA DU ANAJUTA SANA NAOMBA USINIWEKE KWENYE BLOG PLS

  ReplyDelete
 10. Happy Birthday Dida wa Ezben Mungu akujalie furaha na amani tele ktk maisha yako na pia ailinde ndoa yako ili idumu. Happy Birthday my dear Dida

  ReplyDelete
 11. Happy birthday Dida, Mungu akupe maisha marefu uone na wajukuu!

  ReplyDelete
 12. mrs ezden mtu akikujali nawe onyesha shukran hta ASANTE!!!!!! huwa mwatufanya tujiskie km twajpendekeza kwenu wenye mablog khaa na zaman hukuwa hivi ulikuwa wajibu hta ukiulizwa kuhusu biashara cku hzi wapotezea ila n maoni bnafc tu sory km ntakuwa nmekosea jion njema

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ni kweli kabisa inaboa sana mtu mnacoment weee. Lakin yeye hata asante ki ukweli haipendezi. Jibu wadau angalau na wao watie moyo mdao hapa nakuunga mkono kabisa

   Delete