TIMES FM 100.5 PARTY WITH ALL THE STAFFS @ AZURA

Sunday, September 15, 2013 11 Comments

Jumamosi hii ilikua shangwe sana kwa sisi wana Times Fm 100.5 baada ya ofisi kutuandalia Party kaaali sana ambapo watu wote wa Times Fm kuanzia unaowasikia kwa Radio na wale usiowasikia basi ilikua burudani ya aina yake pale... Tazama japo kwa uchache ilivyokua
11 comments:

 1. Monalisa kapendeza. Ila Dida hicho kipensi hakijakupendeza kabisa.

  ReplyDelete
 2. Jamani we anon sasa hiyo roho mbaya hapo ni beach mchangani kbs sasa dida kuvaa kipensi kavunja anaendana na mazingira ya sehemu hao waliovaa magauni na mabwanga hapo ndio sehemu yake dida umependeza sana nspenda kila sehemu unakuwa na mumewe mungu awabariki sana

  ReplyDelete
 3. hongera zenu dida wote mmependeza mwenzangu hopeful mli enjoy sana...

  ReplyDelete
 4. Wote mlipendeza Sana much love kwa #teamtimes,jamani hujaona hicho kibukta kina tait nyeusi ndani Kuna watu mnagubu nyooooooooooo

  ReplyDelete
 5. Nyoko zake kweli watu wanaenda na mazingira sifieni mwenzenu akipendeza midomo mirefu kama chupa manina zenu umependeza sana muke yake ezden babu wakuwache wivu tu umetoka sana mie penda weww mwanamke mjasiliamali napenda maendeleo yako sana nikija bongo nakutafuta mamii uje na uku pls unaenda nchi nyingine uku uji njoo mama tunakupenda sana

  ReplyDelete
 6. .ulitakiwa uwe unaandika majina yao chini ya picha zao itz me naysha

  ReplyDelete
 7. we anony mwenye kimbelembele cha kucomment mwisho unacoment pumba, hicho kipens na eneo husika ndio mwake, we ulitaka avae dira, umuwaache mycousin aenjoy maisha, mumewe keshamuona kapendeza we hata ukiona kachemsha sawa tu kwani we nani....kwendraaaaaaa....!

  ReplyDelete
 8. captions dada yangu mpenzi.utambulisho tafadhali.nakupenda tangu enzi zile za kaole,Na mr bomba alivyotukoka nilikumbuka uivyokua msaidizi wake. much love

  ReplyDelete
 9. MMEPNDEZA WOOTE NAMAVAZI HAYO NDIO SEHEMU YAK HASWA,WEWE UNALAUMU DIDA HAJAPEDEZA ULITAKA AVAE DIRA ,MIJITU MINGINE HAMKOSI MANENO.DIDA MKO POWAA NAMUMEO EZDEN NONEKAN MSTAARABU SAANA.YAANI KIJANA MTULIVU NAMSTARABU HANA PAPARA KAMA VJANA WENGINE.MBARIKIWE SAANA NAWAPENDAJEE.ALAFU KUMBE MONA A MAMAKE WOE WANAFANYA KAZI TIMES FM?NILIKUWA SIJUI UNAJUA TENA TUKO NJE WENGINE HATUFATILII SANA KILAKITU BOGO.NAWAPENDA MONA NAMAMAKE WAKO COOL.DIDA NIKIJA DEC NITAKUJA DUKANI KWAKO KUNA VITU NIAKULETEA MAMII TUFANYE BIASHARA KDGO.LOVE U ALL. MDAU SWEDEN. KBUKA NA HILI CAREEN SVENSON.

  ReplyDelete
 10. Hajapendeza. Full stop!

  ReplyDelete