DIDA FORMULA ONE

Wednesday, September 25, 2013 10 Comments

10 comments:

 1. Haaaa umependezaaaaa my dear!!

  ReplyDelete
 2. Dida umependeza na umepungua vizuri nini siri ya kupungua mpendwa nipe data umependeza sana sana kweli mume umempata pendaneni msisikilize binadamu hata iwwje duniani uwwzi pendwa na wote wanaumia bure yako yanakuendea penda wewe sana mamii

  ReplyDelete
 3. TISHA MBYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA DIDA MIE MWENYEWE NIMEKUTAMANI MHHHHHHHH.

  ReplyDelete
 4. umependeza sana mama, mungu azidi kukusimamia pamoja na ndoa yako,wenye wivu na mafanikio yako kaz kwao taa yamungu ishakuangazia,watajisumbua na taa ya mzungu

  ReplyDelete
 5. DIDA NIMEIPENDA SANA HIYO POCHI YAKO YA BROUWN NIITAKA NTAIPATAJE

  ReplyDelete
 6. Pendezaaaa wanguuuuu wewe ndio number onee!!

  ReplyDelete
 7. umetisherrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr vipi dd dida vile viatu ulivyoahid vinakuja je vishakuja jmn ili tujisogeze

  ReplyDelete
 8. Aaaah dida pendeza sn mumy, pls patia na mimi hy dawa ya kupungua je unayo, mdau ARUSHA

  ReplyDelete
 9. mambo!pendeza sn hiyo blog ya ummy ana2mia ummy nani?na yy 2muone anavyobamba?

  ReplyDelete