VITU VINGI VIPYA

Tuesday, August 20, 2013 20 Comments

Hivi ni sample tu vingi vipo dukani. Tutembelee

20 comments:

  1. hahaha! nipo gado kusikiliza mitikisiko mie.. umeanza na wimbo mzuri Dida... mambo ya Zanzibar Stars... mdau wako wa ukweli.. hahaha je nimekuibia mumeo sema semaaaa.. nimekuomba chakula sema sema

    ReplyDelete
  2. Ikifikaga mda huu yaani stress zote za kazi zinatoka kwa ajili ya kipindi chako Dida... nipo kwa ofisi nakupata vilivyo.

    ReplyDelete
  3. Hapo sasa sitaki sitaki maneno na wewe, sitaki kukaliwa mwao mie jaman.. stress zote za kazi kwisha... mpaka saa kumi safi sana Dida.. Mi penda wewe mingi mingi jamani

    ReplyDelete
  4. kama kawa dida yan nakufagilia sana na kipindi chako jaman never miss it na umenikoshaje na huu wimbo sidhuliki na lawama taratibu in ma ofs nasikiliza...tupe raha mama tuondekane na stress za maboss big up didaaaaaa...mdau sinza mori

    ReplyDelete
  5. dida mbona hutuwekei watu ambao wanakamatwa na unga?

    ReplyDelete
  6. Sh. ngapi hivi Dida na vipo vya rangi nyingine zaidi?? naomba niambie bei ili mtu nikija nije kamili kamili! Hongera sana..

    ReplyDelete
  7. Bei ya viatu virefu 60000.....

    ReplyDelete
  8. Vya rangi ya njano vipo?

    ReplyDelete
  9. Pole sana Dida kwa kupoteza simu yako... kuna ofisi pale NHC House maeneo ya Samora wanadeal na protection za simu... na hata kama umepotelewa na simu huyo mtu awezi fanya kitu chochote na simu yako. Na ukitoa taarifa mapema ndani ya saa 24 wanajua simu yako ipo maeneo gani na unauwezo wa kupata simu yako... Nakusihi uende ukawaone kesho nitakupa Full address. Penda wewe mingi mingi

    ReplyDelete
  10. hi dida samahani kama mimi nataka kwa bei ya jumla nataka niuze utaniuzia bei gani?i hope utanijibu kazi njema.

    ReplyDelete
  11. Nipigie 0712775150 mteja unaetaka kwa jumla.

    ReplyDelete
  12. flat shoes bei gani

    ReplyDelete
  13. Nmeona nguo nzuri sana pale nje kwako Dida..navunja kibubu

    ReplyDelete
  14. Hahaha mambo ya viumbe wa zito hayo.... chezea Dida wewe!! standby niko kwny kipindi chako uku kazi zinaenda..

    ReplyDelete
  15. ah kama kawa dida kamua utupe raha mamaa ya ezden penda sana wewe unanikosha na kipind chako cha mitikisiko ya pwani mambo ya full stop hayooooo..... mdau wako sinza mori

    ReplyDelete
  16. Shost upo juu mpaka jina lako likitajwa kwenyenyimbo wanakata,kilichopandishwa na mungu mwanadamu hawezkukishusha katuu

    ReplyDelete
  17. Dida mi napenda sana mke wangu apendeze ila mi ni m2 wa kpato cha kawaida vp hzo bidhaa unazouza dukani kwako naweza ku afford au ni kwa ajili wa madada wa mujini 2 wenye pesa zao ? Mdau mpya

    ReplyDelete
  18. Big up dida vitu vimeenda shule..nikija tanzania nitakuja kutembea dukani kwako..dada Lillian Ericksson

    ReplyDelete