MAONYESHO YA 37 YA SABASABA 2013
Yale
maonyesho ya kimataifa ya 37 SABASABA yameanza tayari kwa wakazi wa Dar es
salaam, ni muda sasa wa kukutana kule na kufanya manunuzi ya mahitaji mbali
mbali, na pia kwa wale wanahitaji kutangaza biashara zao ni wakati sahihi
kuchecki na Times Fm 100.5 ili tuweze kukutangazia biashara yako
Hapa niko na Edna wa Marketing Department (Katikati) ndani ya viwanja vya SABASABA
Kichuna wa Times na Team ya Marketing ya Times Fm Edna, Allen na Inviolata
SABASABA kwenye mabanda mbali mbali, baada ya kazi shopping kidogo
Suka wa Times Fm Bw. Msangi nae pia ndani ya viwanja vya SABASABA
Kwa wiki hii nzima nitakuwepo viwanja vya SABASABA nikitangaza LIVE Mitikisiko ya Pwani.....
U rock now ur blog imeanza kuwa ya kisasa dida uache kuandika mambo ya mipasho humu bana
ReplyDelete