MWANAMKE WA SHOKA KAZINI...
Mamaa wa mipasho number one kwenye show za Taarab Afrika Mashariki, Dida, akiwa kazini leo hii...
Mwanamke kujituma, mafanikio hayaji kwa kukaa tu, kiheshimu kinacho kuingizia riziki, WANAWAKE TUNAWEZA tufanye kazi kazi kwa bidiii...
Sikiliza MITIKISIKO YA PWANI kila siki za wiki yaani JUMATATU mpaka IJUMAA saa 6 Mchana mpaka 10 Jioni.
BADO UMENENEPA DIDA, UMECHUSHA SANA.
ReplyDeleteumependeza dada!nakupendaa sana
ReplyDeleteumependeza ila unapenda sana kuvaa nguo fupi sijui ni kwanini na ww mtoto wa kiislam jaribu kuvaa vazi la kujistiri usisubiri mwezi mtukufu mungu yupo siku zote muogope mungu umejisahau sana dini haitaki hivyo
ReplyDeletepiga picha na ummi suleiman
ReplyDeletemhh umejibu mwenyewe dida, wacha kujifanya unajua saaaaana.
ReplyDeletenawe kwan unene ugonjwa mpe pumzi mwenzako kuna miili mingine inachukua mda kupungua, n mnene ila mzuri
ReplyDeleteChezeiya dida weyeeee! Napenda sana madoido yako fanya kazi mama maneno ya wambea ni kama vinywele vya pua haupiti mkasi wala viwembe chapa kazi mama! Yalomshinda mvuvi mchuuzi ataweza wapiiiiiii kama si kuozewa na vidagaaaa we ndo dida wa G bana alaaaah!
ReplyDeleteaaaaaaah waaaaaaaaaaapi@ team dida
ReplyDeletesafi sana dida napenda sana mambo yako bana,dah una kipaji huwa nakufatilia sana kwenye blog pamoja kwenye kipindi chako,unafanya kazi nzuri acha uzitumie bana,nakupa big up sana,una shape nzuri sema usipungue saaaaaaaaaaaaaaaaana,mwanamke nyama bana,hipsi kidogo ziwa nalo lionekane siyo mbaya,kazi njema,neema tabata
ReplyDeleteHallow Dida mimi ni mmoja wa wafuatiliaji wa blog yako nakupenda sana kwani unajituma kweli ili kusukuma gurudumu la maendeleo. Pia natamani kujua kwa sisi tulioko mikoani je mtu akihitaji bidhaa za kwenye duka lako tufanyaje kwani mimi nipo Iringa.
ReplyDelete