WADAU BADO NAKUSOGEZEA BIDHAA KUTOKA DIDA CLASSIC BOUTIQUE,UTAKUTANA NA DADA NA KAKA WAMEVALIA IZO TSHIRT AMBAZO NAZIUZA HAPO HAPO DUKANI ZA KILA RANGI ZIPO KAMA UTAPENDA KARIBUNI SANA BOFYA UONE MAMBO.

Sunday, April 14, 2013 11 Comments






















Kuna wadau wanauliza bei za viatu virefu ni 80,000 tu usiogope kabisaaaaaa.

11 comments:

  1. poa sis tutajisongesha

    ReplyDelete
  2. jamani sasa ndo ushamba gani huu?? watu wanunue t shirt ina jina lako. waliovaa ndo wafanyakazi wako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona za kina rihanna,beyonce etc mnavaaa?? dharau zitawarudisha nyuma wadada acheni roho mbaya...pigeni taff uchumi wa nchi yenu

      Delete
  3. HONGERA
    SASA HIVI NI RAHA TUPUUU !BLOG IMEKUA YA KIBIASHARA ZAIDI SIO YA KUFUMBIANA TENA.AU YA KISWAHILI
    ILA DADA SIJANUNUA T SHIRT YENYE JINA LA MTU AU PICHA YA MTU LABDA YA MSIBA. WATAZIVAA HAOHAO

    DUKA LIMEPENDEZA KILA LA KHER SHOST

    ReplyDelete
  4. Vitu mbona vya kishamba sanaaaaaaa! Nenda na wakati dida bado sana.

    ReplyDelete
  5. Sijavielewa kabsaaa!! Hivi vitu lool!. Kishamba zaidi.!.

    ReplyDelete
  6. NYIE KUMAMAYO ZENU MBONA HAMPENDI MAENDELEO YA WENZENU SASA MBONA VYA KWENU VYA KIZUNGU HAVIONEKANI ROHO MBAYA TU MIKUNDU YENU HANA JIPYA DIDA KAZA BUTI USIVUNJIKE MOYO WASENGE TU HAO HAWANA JIPYA YEYE MIA HANA TUSAPOTIANE WANAWAKE KAZI ROHO MBAYA NACHUKIA SANA WANAWAKE WAKIBONGO HAMPENDI MAENDELEO YA WENZENU ISHALLAH DIDA MUNGU AKUONGEZEE PALIPO PUNGUA

    ReplyDelete
  7. mi shida yng ni viwigi nitavikuta hapo??

    ReplyDelete
  8. WANAWAKE! Badala ya kumtia moyo mwenzio unamkatisha tamaa. Ila mtandaon anaingia kila mtu kuna wengine wendawazima... Don mind them keep on doing your things. Hapo akiambiwa ht anunue kimoja hana sent. Baraka ya simu ya mchina kaweza kuingia kwenye blog.

    ReplyDelete
  9. Dida mimi nakupenda sana ila naomba uwe unaweka na bei katika bidhaa zako.
    Hivi simple shoes ni bei gani?
    Pia location ya duka lako

    ReplyDelete