DAY 2.

Monday, April 22, 2013 9 Comments























9 comments:

  1. Dida nakupendaje jamani! nakupenda sana jamani, hicho kigauni dukani kwako kipi na flat shooes hizo saizi 41 zipo? plz nijibu, mfundishe sauda kuvaa khaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. we dada mbona unajishaua hivyo , si useme kama hivyo vitu vinapatikana kwa duka lako? acha pozi bwana

    ReplyDelete
  3. Sauda jamani mweeh mumpelekeage zawadi za nguo kama ye choice hana kama nimzabe vibao

    ReplyDelete
  4. Kwani akipendeza yeye na ww ndo utapendeza? Nenda ukaangalie kama zipo au la! Dida eh huyo Sauda c kila cku mnatokaga nae?? Jamani mbona hajuagi kuvaa na pia hapendezagi na nguo zake za bei rahiccccccc!!!!!

    ReplyDelete
  5. Sauda anasemwa hajui kuvaa comment unaweka kwa rahaaa wewe mishipa ya shingo ilitaka kukatika ulivyosemwa kwa sintah eeh mkuki kwa nguruwe bi dada hata ye sauda hujisikia vibaya pia na vinguo vyake so na ye afanye bifu,usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio

    ReplyDelete
  6. kabisa usichopendwa kufanyiwa usimfanyie na mwenzako hata mimi sijapenda lol...dina whay??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  7. pendeza sana mamiii wanakukomaje dida? umewafunika woooteeee,mtoto wa kitanga chezeyaaaaa...

    ReplyDelete
  8. Jamani said tully wangu, nampenda huyu kaka mpaka nasikia kuumwa mie,halafu mi mke wa mtu,shaaame on me

    ReplyDelete
  9. Nenda sinza karibu na hongera unaweza bahatisha kumwona said, hahahahahahahaaha @mdau hapo juu, mke wa mtu kitu gani

    ReplyDelete