Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Mambo dear, naomba No. ya cm ya huyo dada I think hyo style na mie itanifaa maana nywele zangu zmekatika mbele zaid yako. umependeza sn.
ReplyDeletemdau ukitaka namba yake ni msusi mzuri sana anaitwa IRENE Namba 0718776771
ReplyDeleteumependeza sana dida Muke ya G upo juu nimefurahi kusikia MUME YA G watu waumbuke waliosema mmeachana
ReplyDeleteUmependeza sana je huyo wa kwanza niwewe Mukewa G
ReplyDeleteHongera Dida sasa shemeji yetu uje utuonyeshe
ReplyDeleteharoo all the best ,mie nimekwambia niko mwanza nikitaka ile Powder Foundation nitaipataje ?
halooooooooooo DIDA WA...... sijackia wa........... ati.......... jamani sauti wa.............aaaa DIDA BWANA SI USEME wa............ OKEY CHUKUA MIKE........1 2 3 wa................ unatuyeyusha bwana wa............. yani hata na mike pia? OKEY BILA MIKE COZ U DNT HAVE TO DIda wa GIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDeleteDIDA UMEPENDEZA SAANA SAAANA SAAAAANA,YALE MALACE WG YALIKUWA MABAYA SANA YANAFANYA UNAONEKANA HOVYOO,YAANI SASA NDIO NAONA SURA YAKO HASWA WENIMREMBO KWAKWELI,HUYO IRENE NIKIBOKO AMEKUPATIA SAANA,YAANI UMEONEKANA MCUTE SURA YAKO PANA SO HIYO NDIO STYLE YAKO IWE SIKUZOTE,AMEKUPATIA SAANA,MIE NIKO MBALI NIKIJA NTAENDA KUSUKA KWA HUYO IRENE NIMESHA SAVE NAMBA FASTA,THANX MPENDWA DIDA WETU,PIA NIMEFURAHI UKO NA SHEMU WANGU TENA,WALONGEA SAANA WAMEBAKI WHAAAT,MIDOMO INAWAMWAGIKA NAMATE KWAMSHANGAO,CONGRATS THATS LOVE,KUNAKUKWAZANA NAKURUDIANA,BG UP MA,NACHOKUPENDEA WEMDADA NIMUWAZI ,SIO WENGINE KUTWA KUJISIFIA KILA SIKU HATA HUONI WANACHOJISIFU KUTUCHEFUA TUUU MXIUUUUUU,
ReplyDeleteshost umependezajeee!!! yaani i wish na mimi ningekuwa bongo anitengeneze. its me Ashurah H nakati ya DENMARK nitakucall weekend.
ReplyDeleteDida nahitaji hizo nywele lakini za brown halafu ndefu yake kidoogo! Je naweza kuzipata wapi?!
ReplyDeletekwakweli leo umependeza.
ReplyDeletena hivi ndio unavyotakiwa kuvaa, kubali au kataa ni ushauri tu wa nywele na mavazi.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteWe nawe unakosa vya kusifia
Deletedida hiyo picha ya kwanza ni wewe kama ubebadilika sana hata sijakujua umpendeaza sana uko simple
ReplyDeleteDIDA UMEPENDEZA SHOSTI. UKO JUU
ReplyDeleteam so happy with u Mrs. G. aaah kwa kweli sasa roho yangu safiiii maana nilikuwa sipendi kusikia ndoa yako imeharibiwa na vishaknata wa mjini. na pia mama samira umependeza sana na nywele zako mpenzi hongera. Mariam from Arusha
ReplyDeleteHamna la ajabu. Hata chausiku pale barazan kwetu anasuka zaid ya hvo.
ReplyDeleteAsante dear ngoja nmchek, ubarikiwe.
ReplyDeleteLooking Beautfu,
ReplyDeleteNapenda usimame pia nione hiyo gauni ya kijani imekaaje
Umependeza DIDA. U look young
ReplyDeleteHei Dida,umependeza sana! Hizo nywele zapatikana wapi nami nimezipenda. Asante,mdau.
ReplyDeleteumetoka Nyokooo hatari, nitapita dukani kwako
ReplyDeleteyan umependeza saaana Muke ya G sasa nimefurahije hapa hapa ulivyojiita muke ya G uwiii wafukunyuku wako wapi sasa aibu yao ahoooooooooo ahoooooooo nawzomea tu jamani wenye vijiba vya roho mumuache mtoto wakitanga azidi kuwaumiza roho zenu hongera dida wa G you looking good for your hair style ongera, huyo huyo dada Irene ni nouma kakupatia sana ningeomba na mimi namba yake niende kusuka kwake my e-mail is angelrikard@yahoo.com
ReplyDeletePICHA YA KWANZA ULOVAA RED UMETOKA BOMBA SURA YAKO IMEONEKANA NA MAKE UP SIMPLE UMEONEKANA SO YOUNG. UMEPENDEZA SANA NA VIGAUNI VYAKO MWANGU KIUKWELI WANAISOMA KIMYA KIMYA VIZURI VINAKUPENDEZA UKO JUU
ReplyDelete