NI MWENDO WA KUOGA NA KWENDA KUPATA DINNER.

Saturday, March 23, 2013 4 Comments


















4 comments:

  1. TENAAAAAAAAAAAAAAA MI PENDA WEWE SANA HAPANA CHEZEA ARUSHA KITU MWAKE HIYO UMENIFANYA NITAMANI KUPAA I MIC MY HOME JIRANI NA HAPO ENJOY MAMA USIJE UKAJILAUMU UZEENI.. TENA ENJOY NA MWANO LOL....CHEZEYA DIDA WEYEEE WENGINE WANAPENDA KUBLOG VYA WATU CHA AJABU ATHUBUT KUMUWEKA MWANAE CO NI KUTOKUJIAMINI NA KUTOKANA NA KUFAKE MAISHA..YAJUU WAKATI HALI YAKEYA NI YA KAWAIDA TUUU...

    ReplyDelete
  2. angalau umetembea na Sammy,Dida kiukweli nguo zako za kupendeza ila unavyovaa kwenda ofisini mm sio kabisa hebu vaa kiofisi maana times inakuwa na punguza maneno ya mitaani au huna ndoto ya kuja kuwa mtangazaji wa BBC siku moja. piga vivazi vya ofisi na kuchamba chamba kidhungu kidogo utapendeza zaidi. DARtoARU mambo ya precisionair

    ReplyDelete
  3. Nakupenda sana mamii. Lini boutique yako inafunguliwa? Please weka bei nzuri na mavazi yawe kwa wote yaani na ya kanisani ywepo jaman. Nasubiri ifunguliwe nije. Kula raha mamii.

    ReplyDelete
  4. Dida nimependa hii nguo umevaa kwa hizi pic .vp itakuwepo dukani kwako?i real wish to hv it pleaseeee.

    ReplyDelete