ATAKAYESIKIA HARUFU KIMEMNUKIA,HIVI NYINYI AMBAO HAMFANYI YENU KUTWA KUJIJAZA MASUSU KWA MAMBO YASIYOWAHUSU MNAPATA NINI?NA HII BLOG SI YA MZUNGU ILI NI GOMA LA KISWAHILI NILISHAWAHI KUKWAMBIA MIMI BABA YANGU MGIRIKI AU MMAREKANI SASA, KAMA BLOG YA KISWAHILI UNAFUATA NINI UMU NDANI ANGALIA ZA WAZUNGU WENZIO BIBI UJAITWA UMU,KINGEREZA KINGI BILA PESA HAYO KWANGU NI MAKELELE,NA WEWE MWENYE VIGIMBI KAMA MSHANGILIAJI WA MTIBWA SUGAR KUSHADANIA YASIYOKUHUSU KAMA UNA UVUMILIVU WA KUCHUNGULIA HUMU CHANGANYA KWATO MIGUU IPATE KUKUCHEZA MIMI SI MNAFIKI NAKUPA ILI UACHE ASHUO LA BOGA KUZALIWA MAJANINI,NAWEKA NINACHOKITAKA NAFANYA NINALOLITAKAA FANYA YAKO KWANGU SUPU UTACHEMSHA MAWE.
M najifanya Wazungu Kelele nyingiiiiiii Kwenye Pochi Una buku Kumi Aloooooooooo Lako ilo kama sio lako la jirani yako ukijishtukia shauri yako unipandishi mnazi kwa msuli.
dida kwa mamneno yako na vipindi vyako ninakukubali huyu mlimakaranga mwenzangu nahisi hata kutoka nje ni ishu sasa. nahisi na hizo cd4 zitazidi kupungua kwa kasi na dripu juu. hilo ndio homa la jiji likikuvamia hakuna daktari.kaza buti dada yangubig up sana.
Hilo jiwe lako la kizani limeshampata mtu anaugulia kumoyoo..........hapana chezea homa ya jiji watashaaa wamezoea umbea na unafiki.dida naipenda sanaaaaaa blog yako hainaga majungu wala fitna ila watu wanakutafuta chawa za kope ila we ndo homa ya jiji watajibeeeeeeebaje.
Hahahahaha nakupenda cku zote mtoto yule anajidai kamaliza yote na MIGUU yake ya kushoto utadhan alivunjika utotoni akaunganishwa vibaya,,,,,,kutwa nzima kuwaanika wenzake,
nimeipenda iyo kingreza kingi kwenye pochi una buku mbili.maana wadada wamjini wanashaua sana kizungu hawana lolote,mamaaa, dida upojuu hafagiliwi mtu hapa wala kizungu ,,,,pochi inaongeea
Dina mkomeshe sinta anakuongelea vibaya sana, kwanini umchani live me ananichefua na ki raum chake kijifanya mji anaujua, mkomeshe yule mtoto. akija saloon anajishaua utasema analipa kwacha kumbe tzs.
chamba dida chamda tena na majita moto na sabuni wamezoea kuchambiwa tissue hao et uzungu wakati kubaki na haruf tu lol,wanajishauje type hizo hawana lolote mwisho wa siku wananunua soda kukaa baa kungoja wanaume bibi watu wanajitaftia mpunga wao yaani wanaanza kwa kuulima wanaupalilia then wanauvuna wa kwao huo mchele sio mpuga bibi eenh
yanaitwa makavu live, wadada wa mjini kazi hawataki kufanya kazi kuchimba wenzio, mpe yake aende nayo akiyameza akiyatema, akiwekwa kwa pochi ni juu yake.....wewe huyooooooo unasepa zako
Wote ni super star wa kitambo nyie ni mashabiki tu na hapa nilicho kiona ni hiki: anaye mchukia dida ndio aliyepost kwa sinta na anayemchukia sinta ndiye aliyeposti kwa dida , so dida chunguza kwanza then ukishajua kuwa kweli sinta alikusema vibaya hapo mchambe tena hata na jiwe la tanga lakini kama ni mashabiki wekaneni sawa yaishe, ndugu hakuna kitu kibaya kama kuongeza maadui,mimi na Mtanga mwenzio sikufikii hata robo kwa kila kitu but uchuje maneno ya washabiki ni wagombanishi tu na pia kimya ni jibu tosha, fanya yako wakuone kwa mbali kumbuka waliokupandisha ndio wakao kushusha , kuna leo kuna kesho , watu ni wabaya bora umpende mbwa atakupa ulinzi kuliko watu wanafiki. penda mashabiki wako lakini kaa mbali nao usiwape undani wako jifunze kuwa na tabasamu la plastic ! fanya kwa ajili yako na si kwa ajili yao ! kama ni wakwaza mnisamehe.
hahahaahahahah DIDA nakupenda sana jaman watakoma mwaka huu , wataishia kuchemsha supu ya mawe kwa raha zako kwa shida zao nakupenda sana jembe langu
ReplyDeleteDida siku zooooooooooote m2 akishinda na mambo ya watu basi ujue humpi usingizi.
ReplyDeleteAchana nao dada kaza buti mbona 2nakupeeeeeeeeeeeenda mbona watajibeba kwa raha zako mwanamke kujiamini
ReplyDeletedida kwa mamneno yako na vipindi vyako ninakukubali huyu mlimakaranga mwenzangu nahisi hata kutoka nje ni ishu sasa. nahisi na hizo cd4 zitazidi kupungua kwa kasi na dripu juu. hilo ndio homa la jiji likikuvamia hakuna daktari.kaza buti dada yangubig up sana.
ReplyDeletehuo wimbo au???maana haueleweki..hakika hii ni uswahilini .com.....
ReplyDeletemtaa wa pili wanakusema utafikiri umekula vyao, ukirusha jiwe gizani watu wanagugumia, watajutajeeee!!!!!
ReplyDeletenlishasema na narudia tena...... wanaokuhofia niwale wasokujua dida,ukitaka kufanya yako usiwasikilize waja!! go go go mamii tupa kuleee
ReplyDeleteMadam wwe ni hatareeee
ReplyDeleteHilo nalo neno
ReplyDeleteHilo jiwe lako la kizani limeshampata mtu anaugulia kumoyoo..........hapana chezea homa ya jiji watashaaa wamezoea umbea na unafiki.dida naipenda sanaaaaaa blog yako hainaga majungu wala fitna ila watu wanakutafuta chawa za kope ila we ndo homa ya jiji watajibeeeeeeebaje.
ReplyDeleteHahahahaha nakupenda cku zote mtoto yule anajidai kamaliza yote na MIGUU yake ya kushoto utadhan alivunjika utotoni akaunganishwa vibaya,,,,,,kutwa nzima kuwaanika wenzake,
ReplyDeletenimeipenda iyo kingreza kingi kwenye pochi una buku mbili.maana wadada wamjini wanashaua sana kizungu hawana lolote,mamaaa, dida upojuu hafagiliwi mtu hapa wala kizungu ,,,,pochi inaongeea
ReplyDeleteDina mkomeshe sinta anakuongelea vibaya sana, kwanini umchani live me ananichefua na ki raum chake kijifanya mji anaujua, mkomeshe yule mtoto. akija saloon anajishaua utasema analipa kwacha kumbe tzs.
ReplyDeletechamba dida chamda tena na majita moto na sabuni wamezoea kuchambiwa tissue hao et uzungu wakati kubaki na haruf tu lol,wanajishauje type hizo hawana lolote mwisho wa siku wananunua soda kukaa baa kungoja wanaume bibi watu wanajitaftia mpunga wao yaani wanaanza kwa kuulima wanaupalilia then wanauvuna wa kwao huo mchele sio mpuga bibi eenh
ReplyDeleteyanaitwa makavu live, wadada wa mjini kazi hawataki kufanya kazi kuchimba wenzio, mpe yake aende nayo akiyameza akiyatema, akiwekwa kwa pochi ni juu yake.....wewe huyooooooo unasepa zako
ReplyDeleteMchambano time
ReplyDeleteWote ni super star wa kitambo nyie ni mashabiki tu na hapa nilicho kiona ni hiki: anaye mchukia dida ndio aliyepost kwa sinta na anayemchukia sinta ndiye aliyeposti kwa dida , so dida chunguza kwanza then ukishajua kuwa kweli sinta alikusema vibaya hapo mchambe tena hata na jiwe la tanga lakini kama ni mashabiki wekaneni sawa yaishe, ndugu hakuna kitu kibaya kama kuongeza maadui,mimi na Mtanga mwenzio sikufikii hata robo kwa kila kitu but uchuje maneno ya washabiki ni wagombanishi tu na pia kimya ni jibu tosha, fanya yako wakuone kwa mbali kumbuka waliokupandisha ndio wakao kushusha , kuna leo kuna kesho , watu ni wabaya bora umpende mbwa atakupa ulinzi kuliko watu wanafiki. penda mashabiki wako lakini kaa mbali nao usiwape undani wako jifunze kuwa na tabasamu la plastic ! fanya kwa ajili yako na si kwa ajili yao ! kama ni wakwaza mnisamehe.
ReplyDelete