ANAYEKUDHARAU SIKU MOJA ATAKUSALIMIA KWA HESHIMAAAAA.

Thursday, March 28, 2013 10 Comments





10 comments:

  1. Heheiyaaaaaaaaaa, shake well b4 use, chezea Dida wewe, tuulize sisi, dida ni mutoto wa mujini hajaja kwa saibaba mujini, dida ni waja leo waondoka leo. Ni sister du toka enzi na enzi, nakumbuka enzi tunasoma Makongo Sec, nywele zinatakiwa ziwe fupi yeye ikifika wakati wa likizo hataki kunyoa ili akasuke basi anamuonga afande hela anaachiwa, huyu umjini hajaukuta ukubwani upo damuni, chezea............

    aka SHAKE WELL B4 USE, am back.

    ReplyDelete
  2. Nakupenda sana dida yan nikisikia sauti yako naburudika haswaaaaaaaa ila hujachamba redion,,yan hapo ndo umenipoza leo ungempa la uso mbo upenyo unao mamamamamaee zake anajifanya kitenesi,,,mtoto wa mbwa yule hana be wala te,,,

    ReplyDelete
  3. SASA DIDA HUYO MANGE ANAKUTUMA KAMA YEYE MWANMKE SIAMCHAPE YEYE MIE MWANAMKE MWENZENU NAPENDA KUWAAMBIA UGOMVI WA MAANDISHI NA FEDHEHA KWANI SITUMEFUNWA BWANA . KAMA HUYO SINTA KAKOSA SIUNAMFUATA TUU ,MANGE NAE ASITAKE KUMALIZA WATU KWA KUGOMBANA ATAKOSA MZISHI,ANAJIFANYA TAJIRI ASINGETEMBEA NA NGUO KUUZIA KWENYE KORIDO ZA WENZAKE .ATUULIZE SIE TUMEOLEWA NA WAZUNGU KAMA YEYE
    TENA SIO WAMARIKAN

    MAISHA COPY MPAKA VYA MWILINI COPY
    UTAJIRI ALONAO GRACE SIO WAKE
    NA UTAJIRI NI KURIDHIKA TUU
    UNAWEZA UKAWA UNAISHI UPANGA NA MTAA WA KONGO HUUJUI ,KUFIKA MAHALA SIO NDO UMEFIKA AWAONE WENZAKE WENYE MAISHA WAKO KIMYA

    MSALIEM MTUME JAMANI .WATANZANIA TUNATIANA AIBU
    JASM

    ReplyDelete
  4. DIDA MWAYA MI NIMEKUPENDA BURE, ULISEMA CHA MOYONI MWAKO KUHUSU SINTA UKAMALIZA, NA SINTA ALIVYO NA BUSARA HAJATAKA KUYAKUZA SABABU KAONA NI UGOMBANISHI WA KULETWA NA WATU, TABU NI YULE CHIZI WA KUGOMBANA NA KILA MTU MJINI UCHUKUA POST YAKO KUUNGANISHA NA YAKE ILI APATE PA KUANZIA. NAAMINI MMEHITILIFIANA KIDGO SANA NA JLO NA KWA VIL WOTE NI WATOTO WA MJINI MTAYAMALIZA KIMJINI, KZI KWA YULE KIWAVI JESHI AISHIYE MIAMI KUTAKA KUJUA YANAYOENDELEA TZ ,JAMANI HANA AIBU MWANAMKE WATOTO WAWILI NA MUME ANATOA WAPI MUDA, SI AKUIGE MAZIMA AJIPE GOOD TIME KAM YE MZUNGU KWELI, ILOVE DIDA I OVE JLO ILA LLE KUNGURU HATA SIELEWI LINAKUTAFUTA NINI.INAONEHSA ANAZIMIA MAISHA YAKO SANA NA ANAUTAKA USHOGA BAADA YA KUKIMBIWA NA WOTE MWEEEEEEEEEE. JILIENI RAH WATOTO MLOAMUA KUISHI KT SIO KUCOPY MAISHA ALIDHANI ATAOSHA KUMBE ANACHEKESHA MASKIN

    ReplyDelete
  5. ila dida ww ni nouma,umemchamba laivu bila chenga na amekoma hamna komenti za kukuchamba tena kule kwake,ameamua ajiweke bifu na mannge ili nae apande chati maana mange huwa ana bifu na watu wa high class sooo anataka na yy apate promo. kazi anayo sasa ya kujiañdkia comments za kumponda mange,yan hadi huruma nahis atalemaa vidole kwa kazi anayoifanya sasa,maana kiukweli hajawahi kupata komment nyingi kuzid 50 eti leo zumefika 138 ghafla lolest maajabu makubwa.anataka umaarufu kwa nguvu aisee sijawahi ona mtu anayependa sifa kama yule.ILA YOTE TISA KUMI NI WW KUBWA LA MAADUI.MANGE NAE AMFANYIE KITU MBAYA TUTAFURAHIJEEE!! BIG UP DIDA NAKUPENDA SANA ENDELEA KUMSAFISHA. CHA KUSHANGAZA ANA MABIFU MATATU KWA WAKATI MMOJA,SINTAH VS RAYUU,DIDA NA MANGE,BALAAAAA LA HATARI ATAYAWEZA KUSHINDANA NA MANGE?AMEMUIGA SANA KASHINDWA NOW ANATAKA BIFU NAE MWEEH,INABIDI MANGE AENDE NAE USA AKAMPE HATA KAZI YA KUDEKI CHOONI KWAKE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange ana nini na wewe, unamtetea mange kwani aliyoyaandika kuhusu sinta alimtendea haki?Dida hakumtukana sintah, alitoa ya moyoni mwake na basi. Miami ameenda mbele hadi kuingilia kazi ya Mungu kwamba mwenzake ni maskini, na maneno mengi tuuu ambayo hakupaswa ayaweke. UKWELI DIDA NI MSTAARABU ZAIDI YA MANGE. NA STYLE YA DIDA KUMUONYA SINTAH ILIKUWA NZURI KULIKO STYLE YA MANGE KWA SINTAH. TENA ZILE COMMENT NYINGI NI ZA MAADUI WA MANGE WALIOKUWA HAWANA PA KUZIANDIKIA NA SIO SINTAH. MANGE ANA MAADUI MJINI SI KAWAIDA.

      Delete
  6. Bi kizeee kaisoma kimya kimya kumbe anaadabu msamehe dida amekupa heshima.katuliza domo la kipare kimyaaaaaaay

    ReplyDelete
  7. Heee we hapo juu imetumwa mbwa Kkoo ww,kwa taarifa yk Dida na sintah Lao moja kumbuk enzi za kaole wametok mbali watayamaliZa na kusonga mbeleeee,kazi ni kwa uyo ajuza wenu mange,eti anajidai kumtaja Dida ili apate msaada waaaapi Dida yupo busy mno kufikiria makontena yake bandarini hana time ya kumsapot uyo ajuza wenu eti pesa nyooo kwa zipi hasaaaa, Dida mwaaaa sintah mwaaah mange nooo unanuka mdomo

    ReplyDelete
  8. YULE SINTA KWANI ANA MATATIZO GANI??...UNAJUA MWANZO MWANZO ALIKUWA ANATAFUTA JINSI YA KUTOKA MANA ALISHAPOTEA WATU WAKAMSAHAU SASA ALIVYORUDI ALITAKA ILE BLOG YAKE IJULIKANE KAMA NYINGINE NA HASA UTURN MANA BLOG NA MAMBO YA MANGE NDO ANAYATAMANI MANA VITU VINGI ANAPENDA KUMUIGA KUANZIA MISEMO ANAYOSEMA, MAJINA ANAYOJIPA MPAKA POZI ZA PICHA.....ALIVYOONA U TURN KUNA UFREE WA KUJIELEZA CHCOHOTE NA YEYE BLOG YAKE AKAIFANYA KWA STYLE HIYO LAKIN ANACHOHARIBU YEYE NI KWAMBA YEYE NDO NAMBA 1 KUWAKOSOA NA KUWAKASHIFU WATU ILI MRADI NA YEYE AJAZE WATU KWENYE BLOG YAKE...MANA TABIA ZA WATZ WENGI NI WAMBEA NA KUPENDA KUSIKIA MAMBO YA WATU.....NA SINTA ALITUMIA HIYO ADVANTAGE.......LAKIN SINTA AKUBALI TU YEYE HAWEZI KUJA JUU TENA KAMA ZAMANI HATA ATEMBEE UCHI JIJI ZIMA LA DAR......SASA WAMEKUJA WATU WAPAYA NA MAMBO MAPYA...YEYE UMAARUFU WAKE ALIUPATA KUTOKANA NA KUGAWA SANA BILA MPANGO ALIKUWA AKIMEGWA NA KUACHWA, ANAMEGWA NA KUACHWA NA PIA NDO ILIKUWA SABAB YA KUPEWA JINA LA JLO......

    ReplyDelete
  9. Duh Sinta unacomment huku unajifanya mtamalizanq unamponda na mange huku.Hahahahah hamna kujuana wala kujifanya unamtetea dida ebu tutolee uozo wako hapa na comments..ya 3,4 na zingine zote wewe kwani hatujui unavoandika mxiuuu dida usimuache huyu kunguru

    ReplyDelete