JAMANI UTALII SI LAZIMA UWE MZUNGU,NAMI NILIJIACHIA WEEK END HII KWA RAHA ZANGU KWENYE MJI WA WATU BOFYA.

Wednesday, June 13, 2012 5 Comments

Hotel niliyofikia mandhali kwa nje mataifa mengi huwa wanafikia hapo pa zuri sana na ni ghali kidogo.
Muonekano wa Hotel yenyewe ilivyo.
Safari yangu ya kuelekea hukoooo kujipumzisha tu kwa raha zangu huwa napenda ninapopata nafasi ya kupumzika huwa nasafiri hata nje ya mji walau kutuliza akili.
Nilifika sala na mabegi yangu nikayatua umo ndio chumbani.
Nikaweka vijipozi tu walau kujipa raha.

Njaa haina adabu nilifika Restaurant kwa kupata chochote.
Huo mkwara wa kwanza tu.

Nilianza na mambo hayo baadae nikajipumzisha siku iliyofuta mtalii mie aaaaaaaaah bofyaaa uyapate.

5 comments:

 1. Du umezidi kwa mkorogo, pinguza basi mpenzi, kama dozi ni mara 3 kwa siku paka angalau mara moja kwa siku. sio kusema ninakuonea wivu au nini, ni ushauri wangu tu kusudi upendeze dada yangu, karibu unataka kufanana na nguruwe aliyenyolewa manyoya ? Khaaaa !!!!!!!

  ReplyDelete
 2. Wapi mzee, desparate wewe.

  ReplyDelete
 3. Dieda una ngozi nzuri sana sijui huo mkorogo nani kakushauri upake jamani loooooo!!!!!!!!Wakati ulipoanza kuigiza ulikuwa poa sana,sasa sijui ni nani aliyekushauri ujiingize kwemye mamikorogo.Otherwise enjoy as life is too short my dear.

  ReplyDelete
 4. mimi nkupenda sana mamiii..we huna TATIZO NA MTU?..kasheshe yule MTU MFUPI MLIEMKARIBISHA KWENYE RADIO YENU..MTOTO MAFIKI YULE BALAAA..TENA IKIBIDI UKAE NAE MBALI ATAKUFITINI TU..SIO MTU YULE MFUPI BALAA SIJUI J LO SIJUI MTI WA MAWE..KAMUONA WEMA YUPO JUU IMEMUUMAAAAAAAAA...

  ReplyDelete