EBSS WALIPOZURU NDANI YA "MITIKISIKO YA PWANI" JANA

Wednesday, June 06, 2012 0 Comments

 
Dida, Madam Rita na Mwakilishi wa Zantel kulia
Madam Rita Mkurugenzi wa Epiq Bongo Star Search EBSS aliambatana na Mwakilishi wa ZANTEL kuzuru ndani ya Studio za 100.5 Times Fm na kufanya nao Interview ktk kipindi cha "Mitikisiko ya Pwani"  kuhusiana na Vipaji vitakavyovumbuliwa mwaka huu ndani ya Bongo Star Search chini ya udhamini mnono wa EPIQ NATION kutoka ZANTEL


“Epiq kupitia  ofa yake ya Epiq moto,inakuwezesha kupiga mitandao yote kwa Tsh1/sec masaa 24 kila siku, kutuma meseji kwa Tshs 25, 

50mb bure mwezi mzima na kuanzia saa tano usiku ni BURE zantel kwenda zantel, 

jiunge na Epiq  moto kwa bonyeza*149*09# na kufuata maeolekezo

0 comments: