WADAU ACHA NISEME HAWA WAWILI MUNGU AWASAIDIE WADUMU MPK UZEENI,HIVI UNAWEZA KUKAA NA SIMU YA MUMEO INAITA NA USIPOKEE?

Friday, May 04, 2012 10 Comments


Hawa waacheni jamani hata mpenyeze majungu yanadunda,wanapendana kama mapacha na hata ukiwaona ufikiri kama mke na mume bali ni Kaka na Dada kiukweli,Nilikaa na jide hivi alivyokuja likizo simu ya Gadna ikawa inaita mie Macho yalinitoka kama simu yangu mie ikabidi nimwambie JIDE POKEAA KANIJIBU HAPANA ACHA IITE MPAKA IKATIKE KWA KWELI MZARAMU MIE NILIGUNA KIMOYOMOYO,

Nikamwambia tena inaita bi shostiiiii akasema dida siipokei hata angekuwa anaoga nitaiacha hadi ikatike kiukweli nikasema huyu mwanamke jasiri sana.
Inakuja kwetu je wangapi tunawezaaaaaaaaa,Chezea moyo wa plastiki wewe ila lazima uwe ngangari kiukweli nakupongeza kwa ujasiri wako mie na wenzangu tusubiri anayeweza jifarague tukujuee maana huu ni mkasa mkuuuuuuuuuuu.WAACHENI WAPEANE MAVITUZ NA RAHA WAZILEEEEE Wametoka mbali tutawezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

10 comments:

  1. We nae mjinga nn mbona ni kitu cha kawaida au nyie mmezoea kupokea simu za waume zenu ili muanzishe varangati ukisikia sauti ya mwanamke mwenzio?Simu ya mume ww kiherehere cha kupokea cha nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio mke tu hata mume haipendezi akasoma msg au akapokea simu ya mwenzie km anapenda kushare basi washare na underwear kuvaa kuntu kabisaa.....

      Delete
  2. shake well b4 useMay 4, 2012 at 10:19 AM

    THUBUTUUUUUUUUU, mi binafsi siwezi, simu inaita napokea vzr sana. Ila ninachoshukuru kwa upande wa simu sijawahi kukutana na mauzauza yoyote sababu hiyo ni misingi tuliyowekeana toka tukiwa boyfriend na girlfriend mwanzoni ilikuwa shida ila sasa hivi wala hamna chochote, naenda na simu yake kazini na yeye anabeba yangu, siku nyingine anaenda nazo zote nami wakati mwingine ni hivyohivyo, hapa nilipo nipo na simu zote........chezea mapenzi wewe lol
    SHAKE WELL B4 USE

    ReplyDelete
  3. Heehhhh kwani wewe kimekushangaza nini? mbona kawaida sanaaaaaaaaaaaa, sijaona cha maana hapo

    ReplyDelete
  4. Amna shoga aswa mie mchumba wangu akiingia chooni tu dida Mimi naiba simu nipekuwe maana mmm siwezi Kabisa sembuse hiite pata chimbika maana na Mimi Mzara kweli kweli mwenyewe ananijua maana Nina tabia za kizaramu aswa maana mume wangu kashanisowea yeye ni mtaliano .... Mimi akitokaga napekua kila kona mpaka kwenye suruali mashati na madocomenti yake shezea Zaramu wewe na mmakonde

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona unachanganya mara mchumba sijakaa vizuri mumeo..HAINIUSU ILA INAONEKA ULIKUWA UNAMCHUKIA TEACHER WA SOMO LA KISWAHILI na ENGLISH MANA mmmh!

      Delete
  5. unaweza ukijitahidi dida jifunze kutokupokea simu ya mumeo mbona unakuwa free kabisa na wala musheri hua maana hutakuwa na presha wala sheli dida mm mwenyewe iite mpka kesho unapokea ili iweje ni kujiamini tu mbona unasema kila siku mwanamke jiamini ni kujiamini tu Dida kitchn party kila siku zina sema kupokea simu ya mumeo sumu bi dd jitahd uweze

    ReplyDelete
  6. hahaha MCHAGA MIYE nimejifunza na sasa naweza. nikuepuka mengi maana mabo ya simu yana balaa sana

    ReplyDelete
  7. Cell phone ni personal & private na ndio maana kila mtu ana yake. Ni kutokuwa na adabu na kutojiamini kwa mtu kunakopelekea kupokea simu ya mwenzio. Kwani huyo bwana uko nae masaa 24 kupokea simu zake? Watu wa namna hiyo mimi nawaclassify as very cheap with low self esteem.

    ReplyDelete
  8. Kweli kabisa ni kutojiamini huko, tena hiyo ni kitu cha kawaida saaaanaa tu sema lingine. Sema wanawake wengi wanaojichubua sana huwa hawajiamini kbs. Pole dida.

    ReplyDelete