TIMES FM TULIVYOIGAGADUA MKURANGA JANA, MWANAMBAYA 2 - 4 TIMES!

Monday, May 28, 2012 0 Comments

Mkurugenzi Mtendaji na Mmiliki wa team ya Times Fm The Dream Team Rehure Nyaulawa A.k.A Abromovich
 Times Fm (The Dream Team) jana jioni waliicheza mechi ya kirafiki na Mwanambaya Katika ufunguzi wa uwanja wao katika kijiji cha Mwanambaya Mkuranga mkoani Pwani.
 Mchezo Uliomalizika kwa Times Fm kuibuka Kidedea kwa ushindi wa magoli manne (4) kwa mawili (2).

Wanambaya walitokeza kwa wingi sana

Mashabikiii kibaaaooo hadi waliotoka mbalii walikuwepo


Dimbani tulipo wapiga nyingoi wana Mwanambaya, Times wamevalia jezi nyeupe na nyekundu wakati Mwanambaya wametinga uzi wa kijani na nyeupe

Wachezaji Times FM The Dream Team wakifuatilia kipute kwa makini

Wafuatiliaji A.k.a Makamisaa wa Kandanda hilo hawapotezi pointi
Wanambaya wakitokwa na kijasho chembamba

0 comments: