HILDA ROCKS BHANAA! PIGIA KURA TANZANIA IBAKI

Wednesday, May 09, 2012 0 Comments

Mtanzania HILDA ameonekana kuwa kivutio kikubwa sana kwa wapenzi wa Show ya BBA, hii inajidhihirisha kwa kupitia msg nyingi zinazotumwa na watazamaji kutoka sehemu mbalimbali za AFRIKA, ktk mitandao ya kijamii (Facebook na Twitter) na pia ktk msg kwenye TV.

HILDA pamoja na JULIO wapo ktk hatari ya kutolewa/evicted jumapili hii, ili kuwanusuru wabaki unaweza kuwapigia kura kupitia mtandao na kwa kutuma msg ya simu yako ya mkononi

Kupiga kura ktk mtandao BOFYA HAPA


Njia ya Sms tuma HILDA au JULIO kwenda namba 15726, kwa mtandao wa ZANTEL, Tigo na Vodacom (Tshs. 600 kila msg)


SAVE HILDA, SAVE JULIO. SAVE TANZANIA!!

0 comments: