HILDA ALIPIGIWA KURA NYINGI ZA KUBAKI

Monday, May 14, 2012 0 Comments

Washiriki wa Tanzania Hilda na Julio wametolewa ndani ya Big Brother StarGame ktk Eviction party siku ya jana pamoja na mzimbabwe Teclar aka 'Queen of Zamunda' baada ya mchakato wa kupigiwa kura na wa-Afrika ambapo Maneta alipigiwa na nchi 8, Hilda 6, Julio 1 na Teclar 0, hivyo Maneta akabakishwa ktk jumba la ma-staa UpVille na wengine kutolewa kabisa tayari kwa safari ya kurudi nyumbani!.

Hilda alikuwa kipenzi cha wafuatiliaji wengi wa BBA barani Africa ila pamoja na kupendwa zaidi na nchi 6 kati ya 15 bado haijamsaidia kubaki pia watazamaji wengi hawajafurahishwa na alichokifanya BigBrother
0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...