FFU wa Ngoma Africa Band kuvaana na wakameroon 5000 Stuttgart City,Ujerumani

Thursday, May 24, 2012 1 Comments

Ngoma Africa Band kutumbuiza katika sherehe ya siku ya taifa ya Cameroon,Jumamosi 26.052012 mjini Stuttgart,Ujerumani.

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU,
inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza katika sherehe ya siku ya taifa la Cameroon.kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU,watatingisha jukwaa katika ukumbi wa Arena la  Sportpark Feuerbach, uliopo mtaa (Triebweg 85, 70469 Stuttgart) ,Wakamerooni wapatao 5,000 wanaoishi ujerumani pamoja na maelfu ya wapenzi wa muziki nchini Ujeruamani watajimwaga uwanjani kupata burudani kamili kutoka kwa kikosi kazi Ngoma Africa band aka FFU chini ya uongozi wake kamanda
Ras makunja wa FFU,
 
Ngoma Africa sasa wanatamba na wimbo mpya "Uhuru wa Habari" ambao unasikika at

1 comment:

  1. Kamanda Ras Makunja wa FFU na kikosi chake Ngoma Africa band aka FFU aka watoto wa mbwa,kila kona wanabwaka na kupiga virungu vya muziki,kamanda namkubali kazi ndani ya gemu anaiweza

    ReplyDelete