TAMASHA LA MITIKISIKO YA PWANI 2011, ndani ya PTA Ijumaa hii!
Kila mwaka kupitia kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, Radio Times huandaa tamasha kubwa la Taarabu na kukutanisha wapenzi wa muziki na bendi mbalimbali, wasanii na burudani za kutosha
Mwaka jana 2010 tamasha hili lilifanyikia Diamond Jubilee
Mwaka juzi 2009 keki ilikatwa na kufuatiwa na burudani kali kutoka kwa bendi 10 za Taarab nchini Tanzania
baadhi wa watangazaji wa Radio Times mbele ya wapenzi/mashabiki wa muziki wa taarab waliofurika @PTA

2008 tulikutanika ktk viwanja vya Msasani Club
Mwaka huu Ijumaa ya Disemba 16 Tamasha la Mitikisiko ya Pwani litafanyika tena pale PTA HALL Sabasaba ktk uwanja wa maonyesho wa Mwl. Nyerere kuanzia saa 2 usiku, kutakuwa na burudani kabambe za kukatwa na shoka ambapo bendi za taarab zitatumbuiza sambamba na burudani zingine.... Baadhi ya bendi ambazo zitakuwepo ni pamoja na East African Melody, New Five Star, Mashauzi Classic, Kings Morden Taarab, Coast Morden Taarab,T Moto, Baikoko, AT, Mcharuko Comedy na wengine kibao
kiingilio ni Tshs 10,000 tu
BURUDANI HII SIO YA KUKOSA MDAU

0 comments: