NAJISIKIA HIVI WEEK END HII,JAMANI WE ACHA TU.
Natamani kwenda kula dinner sehemu hizi mbili,Kempinsk Au Moven pick Jamani na napenda hasa nikapate chakula chenye pili pili nyiiiiiiiiingi na ndimu za kutosha ila nitaangalia ili nisiwaudhi waungwana wanaohisi najifagilia acha nikale kwa raha zangu halafu siku zitakazofuata nitaendeleza makamuzi yangu kwa Mtogole haaaaaaaa yaaaani we acha tu nawatakia kila la kheri kwa ajili ya kusherehekea miaka hamsini ya uhuru, Shurti week end yangu nile chakula cha kushikiwa mtutu.
.png)






0 comments: