JANA ILIKUWA KITCHEN PART YA SAUDA MWILIMA HONGERA SANA ,WATOTO WAMUJINI WALIKUWEPO BOFYA UONE.
Mamaa Kajala ,mwanamke pozi bibi.
Friday, December 23, 2011 14 Comments
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
© Copyright DIDA MITIKISIKO Developed by MKCT
huyu wolper na rangi za nywele mwambie kuna kansa,hongera sauda kwa hatua hiyo
ReplyDeleteDida tumesikia wewe, wema na kajala mlitiwa ndani na sintah ilikuwaje? tupe michapo
ReplyDeleteJAMANI MLIPENDEZA!!! MA STAR WA BONGO MLIMEREMETA. HONGERA SANA SAUDA. NDOA INAJENGA HESHIMA MUMMY.
ReplyDeleteREHEMA
AMANI HUYO DOKII SI MLOKOLE? SASA NA HIYO STYLE YA NYWELE INAKUWAJE? AU ULOKOLE ULIMSHINDA? UKITAKA KUMFUATA YESU UIKANE NAFSI YAKO KWANZA JE YEYE YAMEMSHINDA?
ReplyDeletesauda alipendeza sana, mbona hujamuweka yule mzandiki aliyetaka kuharibu shuhuri namaanisha sintah naomba umuweke mnafiki mkubwa yule, all in all hongera sauda
ReplyDeleteHuyo da Rehema alikuja kimakosa???
ReplyDeletekwani kukata nywele hivyo ni dhambi? Amri ipi kavunja??
ReplyDeletehongera sauda kwa hatua nzuri! ni jambo la kheri. naona mastaa wengine hapo wamechoooooka...huyu mona vipi?? na hadi blog yake kafunga ..tunasubiri wengine nao watafunga tu... duh...hakuna la maana kunaboa...watu kuweni wabunifu..mbona wenzenu wanajitahidi kuweka mambo mambo hadi mtu anapenda tu ku comment! YANA WENYEWE HAYA! YETU MACHO.
ReplyDeleteKwa mara ya kwanza namuona Sauda kapendeza
ReplyDeleteDA SAUDA ALIPENDEZA HONGERA ZAKO MWALI NA UWE MTIIFU KATIKA NDOA YAKO,MUNGU AKUJAALIE WAJINA
ReplyDeletehongera saaana dada sauda umenoga ile mbayaaa!! monalisa hiyo nguo shingo yake designe haijakutoa kiviiileee. by the way mlitoka chicha.
ReplyDeletehongera sana dada sauda inshaallah Mungu ailinde ndoa yako na hususuda za wanadamu.
ReplyDeletemhhhh mona umetokota ,bi Hindu hakuja harusi ya sauda ?namkubali sana bi huyu
ReplyDeletenagris hapo ulikuwa tayari?
ReplyDelete