The Launch of Times 100.5 Fm @Kempinski Hotel

Thursday, December 01, 2011 0 Comments


Naibu Katibu mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na wanaTimes, wadau, wakuu, mabalozi na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Times Fm ktk hotel ya Kempinski

Meneja masoko wa Times

Mkurugenzi Mtendaji wa Times 100.5 fm Bw. Rehure Nyaulawa

KP, Masoud wa Kipanya msemaji wa shughuli hio

Mkurugenzi, na HR wa Times Hellen Mzava wakiteta jambo na mgeni rasmi Bi. Sihaba Nkinga



KP na Chemundu-Gwao

Mkurugenzi, Mgeni rasmi na Programme manager Bw. Hermy B wakitafakari jambo


Baadhi ya wageni waalikwa







Scholastica Mazura akiwa amepozi

Gadner G Habashi na Amani Misana mzee wa Chakula cha usiku wakifuatilia mambo ktk uzinduzi huo

kulia waandishi wa habari Peter Mwenda na Rose wakipata 'chochote kitu' wakati wa hafla ya uzinduzi

Fashion Designer Ally Remtullah alikuwepo



Baadhi ya wafanyakazi ktk kituo cha Radio Times Fm


Kikundi cha utamaduni chini ya ChemunduGwao kiliburudisha


0 comments: