HIVI KOBE NI MNYAMA AU MDUDU SIELEWI JAMANI.

Tuesday, May 17, 2011 15 Comments

Huyu kobe yupo ofisini kwetu natoka tu kwenye kipindi namkuta kwenye majani nilijiuliza sana hivi huyu ni mnyama au mdudu?
Nimempendaje?

15 comments:

 1. Hukufundishwa shuleni?
  Kweli wewe zuzu
  Huna cha kuweka
  Mpige picha mwanao umuweke

  ReplyDelete
 2. maswali gani hayo, ebu tuambie uliyemgonga anaendeleaje na imekuaje hiyo kesi yako mbona unacho cha kutupa habari leo unatuuliza kobe...

  ReplyDelete
 3. Kwa kweli kama mnaaznisha blog kwa ajili ya kuonesha picha zako na maisha yako sidhani kama inaleta maana unatakiwa ujaribu kufikiria kuna kitu gani watu watajifunza kutokana na hiyo blog uliyoanzisha, sasa wewe unatonesha kobe halau unatuuliza swali, what is this? au unatoa picha ya mwanao yuko anatazama TV?? sidhani kamainaleta maana au kama umemuona Shamimu analamba matangazo na wewe ndio ukaamua kuanzisha ukitafuta a very good idea!! usiwe na haraka ya kukurupuka bila ya kupata kitu kinzuri

  ReplyDelete
 4. Huna hata haya wewe anon wa 6:16AM, kwani hilo ndo jibu la swali alilouliza??? Kama hauna cha kumjibu si unyamaze??? Watu wengine huwa mnawashwa midomo tu bila kuongea hamjisikii raha, hebu jifunze ustaarabu maana huwa haufundishwi shuleni LOL..............

  ReplyDelete
 5. we dada wa juu mbona una kiherehere, inaonekana unamuonea sana wivu dada yetu, mbona ye kauliza kwa wma tuu, jamani tujifunze kauli njema, mdomo wako unahitaji clorox au bongo wanaita jiki kasafishe , duuh, @dida mi nafisi kobe ni myama

  ReplyDelete
 6. Jamani maana ya kumiliki blog ni kujiexpress yourself and others so km dida anaweka picha za mtoto wake kwenye blog yke its her own, nawe anzisha ya kwako weka zako tembelea blogs za macerebrates utaona wanaweka nini km si matukio yao na ya kijamii then km we unaelewa kobe ni nani ni wewe wapo wasioelewa si wote wameenda darasa kiviile na ulipopata taarifa dida kagonga mtu fuatilia huko utajua anaendeleaje dida atatoa kwa wakati wake ebu mpeni nafasi kwanza hata tusiotaka kumsemea mnatufanya tuseme

  ReplyDelete
 7. umeona eeh???? mi wananiudhi hadi basi, kwani lazima ucomment kama huna jipya si unafunga bakuli lako unalala, wewe mwenyewe ndo uliyefungua blog ya dida na wala hajakuita kisha unaanza kusema upuuzi wako, HATUPENDI VIHEREHERE NA VIDOMODOMO kwenye blog yetu.......... kama vipi SHAKE WELL B4 USE.......................LOL

  ReplyDelete
 8. He dada umeweka msisistizo "shake well b4 use" umesoma kweny chupa ya syrup ya mwanao nini poa hamna noma mtu akikuchafua unaweka msisitizo bwana tehetehetehe! ntacheka adi kesho thanx for bright my day

  ReplyDelete
 9. nakumbuka usemi wa didah mti utupiwao mawe ndo wenye matunda,alafu nachompendea she dont give a f.ck ,damn
  love u mummy

  ReplyDelete
 10. Hi! Dida mimi ni mpenzi sana wa blog yako ila unanikatisha tamaa kwani ninapofungua natarajia kuona vitu vipya lakini naona umekuwa mvivu jitahidi m2 wangu utupe utamu.

  ReplyDelete
 11. Umejuaje shost kama Chupa ya dawa ya mwanangu imeandikwa hivyo??? HABARI NDO HIYO, WATAJIBEBA MWAKA HUU

  ReplyDelete
 12. Aaaa nakuaminia mamake kama hawakuSHECK BEFORE watakunywa sumu ziwadhuru nafsi zao, washindwe kutoa sauti weraaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaaa!

  Mam Samira

  ReplyDelete
 13. Kweli dida jaribu kutenga japo nusu saa ili upate kupitia blog yako na kuiup to date wapenzi wako tunaboreka tukikuta habari zilezile.

  ReplyDelete
 14. Nipo pamoja nawe Mama Sammy mimi aka ni Shake well

  ReplyDelete
 15. aya shoga hayo si majipu hebu weka mdomo wako pazia kuhusu dida hayakuusu

  ReplyDelete