JANA NDANI YA UWANJA WA NDEGE NIKIMSINDIKIZA RAFIKI YANGU MAMAA FATMA MWAMBA BAADA YA KULA BATA BONGO AREJEA NEW YORK,NAKUTAKIA SAFARI NJEMA JAMANI.

Thursday, April 28, 2011 11 Comments

Nikiwa air port kusafiri raha ila usindikizaji nao unaumaje?
Fatma na mtoto wake kipenzi.

Hata airport kuna makontena kama american chips kibongobongo.


Pozi zote baada ya muda tunaachana naenda kuipita karume chezea kwa jakaya.


Nitakumisije?Usisahau kumpa hi Obama nilisoma nae ha ha ha teh teh.

11 comments:

  1. Hicho kimini hata hakijakupendeza una miguu mibaya sana kwanini usiache mikorogo inakuharibu unamfundisha nini mwanao.......
    Angalia rangi ya mtoto wako nzuri huna haja ya kujitia macream badilika kuwa kama Maimartha kashaanza kuacha......
    Acha taratibu mpaka watu watakuzoea
    Hivi siku serikali ikipiga marufuku cream si mtakuwa hamtoki ndani...
    Uso wako unazeeka wakati bado mtoto mdogo sana
    Mtapata cancer
    Huyo anaenda marekani au Mwanza........mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
    Na blogu yako mwenyewe.yetu macho

    ReplyDelete
  2. pole yako muoshwa vinywa naushukuru huu mguu kama chupa ya gongo ndio unanipa ujiko mjini,kuhusu mkorogo unajitahidi kwa ushauri kama mama terry ila ningependa nikuone maana inawezekana mwenzangu bora mie kumbe wewe mdogo wake michael jackson na kupendeza sifikiri nimekuvalia wewe bi dada pole na yangu samahani lkn huwa sina uvumilivu na mie japo nikikupa kidogo maana mie si mzungu.si unaelewa watoto wa kwa mtogole tulivyo vigezo kwangu na masharti vimezingatiwa huwa natoza mpk makosa.

    ReplyDelete
  3. Yalaaaaaaaaaaaaaaaaa yetu macho mabingwa wa kuchezesha taya mjini kaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli

    Wajina mama samira!

    ReplyDelete
  4. hahahha dida
    yani umenichekesha ndo kaam yule fala wa siku zilw anakurupuka tu ukimshushua anaanza ooh mie sijui mtoto w mwmbao kumbe ameshushuka limemshuka

    wape wapeeeeeeeee hao wakomeeeeeeeeeee alishawambia atapunguza na anapaka sijui nini ndo inamfanya hivyo na joto mmekazana tu

    hahahha nimecheka jamani dida mie natka uwe somo yangu yani unifundishe kusimama mtu akinipa neno nampa na yeye siku nyengine ana nyamaza kimya.

    kishuuna

    ReplyDelete
  5. Sasa wewe mdau unaesema na blogu yenyewe hii, umekuja kutafuta nini humu? Hivi hiyo Marekani unaiona kuwa ni deal sana kuwa watu hawawezi kwenda au hawawezi kukaa au unafikiri ni kwa watu wa aina fulani tu ndio wanaopaswa kwenda?

    Haya sasa huyo Fatuma ndio keshaenda Marekani wewe kinakuuma nini mpaka useme anakwenda Mwanza? Kama na wewe unataka kwenda sema nikuunganishie mdogo wangu anatafuta housegirl wa kukaa na wanae ili na wewe uende ila na yeye anaitwa Mwajuma sasa sijui hutaamini kuwa anaishi Marekani na anataka msaidizi kutoka Bongo wa kumsaidia kulea watoto swine!Acheni madharau mukiona wengine hata wanapanda ndege kwenda kwao migombani wanawadanganya kuwa wanaenda nje mnawashobokea kwa sababu ya majina!

    ReplyDelete
  6. watu weweeeeeeeee dida mpe yake yamguse mpaka rohoniiii hahhaahha chezea toto lamtogole utagaragara chini ukitafuta pakutokea maana kwa mtogole vichochoro tele hahhahaha

    ReplyDelete
  7. teh teh teh teh du huyo mchangiaji wa kwanza asinichekeshe mie, sasa huyo dada wa watu anaeenda new york kakukosea nini hadi useme yuko kama anaenda mwanza????? au ni kushoboka tu?? namshanga mie...unafikiri ulaya au america watu wanafikiria kuvaa tu?? huku watu wanakimbizana na hela....yani tafuta maisha kuvaa ni kwenye matukio maalum. Lakini pia huyo mdada anasafiri ulitaka avaeje...au ulitaka avae suti, au avae kama anaenda kwenye kitchen part ndo useme amevaaa????? chuki binafsi tu, ukute unatamani kwenda abroad ila vigezo huna......heheheeeeeee unalo limekukwama. ninashukuru kwani jibu ulilopewa na dida limekustahili! kama huna cha kuandika ni bora ukae kimyaaaaa.

    ReplyDelete
  8. first comment hapo juu sasa ulitaka huyo aliyeenda State awe amevaa gaun la sikukuu na make up uson au...!umechelewa kujuwa kwel na kuhusu Dida with cream sidhan km anakuja kuomba hela kwako ya kwenda kununulia na sidhan km hajui madhara yake sooooo kaa pemben and live u'r life lady.

    ReplyDelete
  9. do kitu kinachokuvutia my sis, they are just haters, kula bata bwanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. wee dida zaa na wewe unafikiri umeolewa ili uuze sura? mfyoooooo!unadhani huyo mumeo anaona raha sana kulea hizo shahawa za sijui mchops? hovyo!!!!!!!!

    ReplyDelete