KARIBU DIDA CLASSIC BOUTIQUE ILIYOPO KINONDONI STUDIO.

Saturday, March 12, 2011 6 Comments

Kwa wale wanaopenda viatu virefu.
Mapochi ya kumwaga na sendoz.
Karibuni.

6 comments:

 1. vitu ninaviona ni vizuri hapo studio ni wapi naomba physical adress tafadhali

  ReplyDelete
 2. nashukuru mdau kwenye mataa ya studio unakata kushoto kama unaelekea mango garden ukikata tu flame ya kwanza ni kwa sele anauza raba yangu ni ya mwisho karibuni sana.

  ReplyDelete
 3. Dida nnachokupendea ni kwamba wewe ni mchakarikaji sana! Mungu akuzidishie upate afya njema ya kumlea mwanao! Usiwasikilize wanadamu utakata tamaa! Dedication kwako mamy wimbo wa Bahati Bukuku "Unapoianza safari watakutia moyo,unapoonyesha mafanikio vinaibuka vikwazo,si wote wafuraiao mafaniko yako" Mtangulize Mungu dear wangu!

  ReplyDelete
 4. dida una vitu vizuri sanaaaaaaaaa lazima nije kukutilia maguu naomba nijue na bei ya via2 vyako vinaanzia how much mana me ni ugonjwa ili nikija niwe nimejipanga mana sitapenda nije alafu nisikuunge mkono nafurai sana nikiona maendeleo yako na ukiangalia ww ni single parent safi sANA sio kama wanawake wengine wanaishi kwa mabuzi..na nyumba yako ni zuriiiii saa dida we ni mwanamke wa kishoka.

  ReplyDelete
 5. ahsante nashukuru sana bei rahisi tu usihofu kupunguza kupo mpendwa usihofie karibu sana.

  ReplyDelete
 6. Dida nimelipenda duka lako lina v2 vya ukwel na m n mpenz sna wa fashion tatizo niko mkoani na kuja mjin mara chache mpka leave,so ntapataje v2 hvyo pse assist m.luv u and uzidishiwe

  ReplyDelete