MFALME MZEE YUSUF AUANZA MWAKA KWA KUFANYIWA OPERATION YA MGUU,KALAZWA KWA DOKTA BARKE KIBAHA TULIMTEMBELEA WEEK END HII.

Monday, January 17, 2011 4 Comments

Mzee yusuf akiwa na mke wake kipenzi leila rashid akimfariji.
Hakuna cha Alamba alamba.
Mguu aliopata operation.
Akinyanyuliwa.

Mzee na mdogo wake.
Nikimfariji.
Sasa anatembelea magongo haya mungu atamuafu.
Chumba alicholazwa mzee y.
Baadhi ya marafiki wa mzee.
Usher family nao walikuwepo na wageni waliofika kumfariji.

4 comments:

 1. jamani nawatakia pole familia ya mzee yusuph inshallah mwenyezi mungu atakuafu bro.pole sana mzee wa alamba alamba.

  Amina Zangira

  ReplyDelete
 2. Sinilisikiaga unataka kuolewa nae, viliishia wapi? au yalikuwa mambo ya magazeti ya udaku tu

  ReplyDelete
 3. nikweli bwana wake huyo hapo waligongana namkee mwenzake

  ReplyDelete
 4. Kivazi kimekutoa shoga..........

  ReplyDelete