Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
MY WEDDING DAY....
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
-
THE AFTERMATH...
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Dida ndugu yangu kazi nzuri,usiwajali watu wanaokukwaza ukapoteza utu na thamani yako wewe ni Mama mwema huo ndio ushauri wangu ukipenda fanyia kazi usipopenda sawa pia.
ReplyDeletependezaaaaaaaaaaa,nami namwambia bi harusi ndoa ndoano lakini ndoano hiyo akiitumia vizuri mfano akienda nayo baharini ataitega na atapata samaki,vivyo hivyo ndoano ina ubaya wake pale inapokukwama all in all ndoa ni uvumilivu,heshima na kaulinjema na upendo wa dhati.karibu mamy kwenye
ReplyDeletechama letu.
Amina Zangira
kwanza nakupa pongezi sana dada dida! wapake sana watu wambea wasiopenda maendeleo ya wenzio! dada umependeza sana na kivazi chako hicho! u look so sexy!! endelea kutupa picha za mashughuhuli kama hivyo mama! me nka arusha nakufagilia sana na blog yako hii ya kukomesha vidomodomo! kila la kheri dada
ReplyDeletebi dada umetoka bomba sana nakukubali DIDA wa ukweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteUNAJITAHIDI SANA KUVAA VIATU VIREFU ILI UONEKANE MREFU, BT STIL SHORT CHASSIS, A.K.A SHOTII. PUNGUZA MKOROGO KIDOGO SHUTI UMEMPITA HADI MYMATHA, ILA VIGOTI VYEUSIIIIIIIIII, WANGEKUWA WENZIO UNGEWASEMA.
ReplyDeleteHONGERA KWA KUPENDEZA MAMAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteBIG UP SANA. BY S.J
unachotafuta utakipata
ReplyDeletedida umependeza sana hapo, huyo anataka upunguze mkorogo kwani anakununulia yeye, tena ukome, mwache ajichubue anavyotaka, na ukiona hivyo ww umedunda, ndio mana halafu ucpende kuchanganya mada, unamuongelea dida unamchanganya na maimatha inahuuuuuuuuu!!!!!!!!! hapo uckute mwenyewe sura ngumu kama futari ya gimbi, ww kavae hivyo basi utoke mbele za watu kama hatujatapika na vipaja vyako venye sugu!!! nyooooooooooooo!!!!!
ReplyDeleteDida tatizo lako ushamba umekuzidi, hivi wewe unajiona ni nani hasa katika Tz hii hasa pande za Dsm. Tatizo la maskini hakipanda matako hulia mbwata ndio wewe hapo bado si lolote si chochote je ukiwa chochote watu hata maji hawatakunywa. TATIZO NA SHULE INACHANGIA POLE MDADA
ReplyDeleteDida apendenja, kama shio weye, nakupa big up!!
ReplyDeleteila mdogo wangu naomba upunguze mkorogo una madhara baadaye kwenye mwili wako, sio kama nakuonea wivu bali ni huruma nakuonea.
kingine napenda kukushauri kiru kimoja, wewe ni mrembo na mwenye heshima katika jamii, uhakika ninao kwa hilo. hivyo basi napenda uwe mtu wa kujiamini kwa kila lako jambo ufanyalo, mbona sie binadamu hatujakamilika, na hakuna anayependa mwenzake akifanikiwa kwa lile alitendalo, kila akunaye umefanikiwa ataanza kutia shenzi wake na maneno ya choko choko ili tu uonekane mbaya kwa kila mja!!!
kula good time zako, fanya lile likupendezalo, ilihali usivunje sheria. waheshimu wadogo kwa wakubwa, lea familia yako usijali wambea, umeolewa hujaolewa, umeacheka hujaachika, isijalishe ni mara ngapi!! we wapotezee tu! wenyewe yamewashinda hawajielewi wako dunia ya ngapi, waje wakupe shida wewe mtoto wa mwanamke mwenzao!!!
mwanamke kujiamini dada eeeee!!!
utaonga saana, mwisho utakujapata fangasi za mdomoni bure!!!!
kwanza nakupa hongera kwa unavyojituma!!
chiazzzzzzzzzzzzz!
I wonder kama kweli hivyo viatu ulivivaa mpaka shughuli ikaisha, ninawasiwasi kuna wakati ulivua ukabaki peku! anyway Umependeza
ReplyDeleteSakina, wa Arusha
Nakwambia Anony wa September 30,2010 6:40 AM umesema kweli haswaa kajitu kafupi kana mdomo kweli hapo kachemka kila kitu na ingekuwa wenzie angechonga sana mdomo kujichubua utafikiri dada wa magoti waiting to sell yourself sio deal mama kujikoboa hivyo..siku ya siku utaja jutaaaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeletekwani wewe hujaolewa? mbona mda mrefu niliona kitchen party na send off yako katika blog fulani au walikosea kuona?
ReplyDelete