VODACOM MKO JUUUU TULIJIRAMBAJEEEE.

Saturday, August 21, 2010 5 Comments

Hayo ndio mambo ya voda ndani ya moven pick jamani mhh sisemi.
Hiyo ni mandhali ya moven pick tulipokuwa tunaingia mhhhh nnalo.




Aaaaaaah unamuonaje ankal michuzi mkekani.




Uislaaaam mtamu jamani wadau waliosimama ni kushoto lady hanifa mtangazaji wa itv,radio one kulia dida mama sipitwi na aliyeshikwa bega ni bi gea habib toka clouds fm.





Shoga hanifa si kila kitu kinaliwa jani ilo bi dada unaljua ni nini?kipengele hiki kilikuwa kigumu kwa hanifa anauliza hili jani la nini?




Kidogo ilibidi niisaliti Diet






B 12 na mwanadashost dj fetty.




Shurti kwa vimiminika.


Mwammy.





Shamim na Mwammy.








misonsomolo meza mate kiaina.

5 comments:

  1. MASHAALLAH UISLAM MTAMU MAMITO. I LIKE ISLAM AND IM PROUD OF IT.WAOOOOOH
    ASHURAH-DENMARK.

    ReplyDelete
  2. Mmependeza sana , sasa huyo mwamvita siku hizi anaitwa Mwammy, kwa nini usiandike jina lake halisi acha kujipendeza. Then nilisikia mna ugomvi na Gea sasa ni marafiki eeeh.

    ReplyDelete
  3. wewe anon mambo mengine hayakuhusu ajipendekeze anataka nini ufupisho wa mwamvita ni nini wabongo bwana usiwe na kihele hele kama ushuzi wa ngomani dida fanya unaloweza bibieeee.

    ReplyDelete
  4. hayakuhusu unewagombanisha wewe mbona wewe anon hapo juu mnafiki sana nyie ndio vizabizabina hampendi kuona wenzenu wanapatana acha umbea ungekuwa si mwezi mtukufu mwenyewe angekusuuza mdaku wewe huna lolote sarah mwanza

    ReplyDelete
  5. Huyo hanifa ni mshamba cku nyingi halafu anajifanya yupo Bahati yenyewe kampa paka

    ReplyDelete