HAYA HAYA OOOOOH NG'OMBE ANAZEEKA MAINI MAZOEZI HAYANA KIJANA WALA MZEEE CHUKUA HIYO.

Monday, August 16, 2010 5 Comments


Wela welaaaaaa uzeee nyumbani kwenu hapa kazi tu.

Kupunguza tumbo mwanadashost upo?






Ikiwezekana hata hii rahisi chezeeeeeaaaaaaa.





5 comments:

  1. hhahahaaaaaa Dida utatupindua vizazi mwaya!

    ReplyDelete
  2. shosti hi kali ndungu duh mwanamke wa kichina nini maana wachina ndio zao

    ReplyDelete
  3. haka kabibi sio kale kalikokutwa na bangi airport kweli jamanii hahahahahaa !!

    ReplyDelete
  4. Safi, make mazoezi ni afya. Kwa kazi yako dada Dida anafaa awe kocha wako ili vitu nkama hivyo tuvione jukwaani live kwenye swaga zako.
    Ndaki- Mwanza

    ReplyDelete
  5. HAHHAHHA DIDA UMENIFURAISHA KAMA NIMWEZI MTUKUFU NI KWA NYIE MNAOFUNGA WENGINE HATUFUNGI BATA KWAKWENDA MBELE NA MAVAZI KWA SANA INAWAHUSU WALE WAISLAM NDO WAPATE MIKWAJU TENA KWAU KU UGHAIBUNI JUA LENYEWE TUNAPATA KWA KIPIMO KAMA MAFUTA YA TAA DUKANI .CHEZEAAAAAAAAAA WARANGIWARI HAWATAKUELEWA KUHUSU HILO .MFUNGO MWEMA.KWA MNAOFUNGA

    ReplyDelete