Ma-star na Orange color

Tuesday, July 20, 2010 2 Comments

Macelebrit wa majuu wakiwa wamependeza ktk mavazi ya orange... Vanessa, Gabourey, Gillian, Ashley na Carrie Underwood

2 comments:

  1. Si mnaona wenzenu mastaa tena wenye hela chafu, wamevaa kiheshima na wamependezaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. unanichekesha hata sisi masikini tunapendeza kuwashinda unaweza ukawa na pesa na usipendeze ujui kuvaa .naona sawa tu kitu sambaaa maskini tajiri

    ReplyDelete