Big Brother All star ndio imeshaanza.... Mwisho akiwa wakwanza kuingia!!

Monday, July 19, 2010 3 Comments


Big brother africa 5 inayoitwa All star sasa imeanza usiku wa jana baada ya show kutoka kwa Sean Paul na kumpisha Mwisho Mwampamba anaye-represent Bongo kuingia ktk jumba akiwa wa kwanza kabisa.
Mwisho kapewa nafasi nyingine baada ya ile BBA 1 kuishia nafasi ya pili, waTanzania hatuna budi kumsapoti mwanzo mwisho. Alipoulizwa kuhusu mtanange huu wa sasa Mwisho alijibu kirahisi kuwa yeye ameenda ku-have fun.

Wengine watakaoshiriki BIG BROTHER ALL STAR ni Jennipher (Msumbiji) Code (Malawi), Hannington (Uganda), Kaone (Botswana), Lerato (South Africa), Meryl (Namibia), Munya (Zimbabwe), Sami (Ghana), Sheila (Kenya), Uti (Nigeria) na Yacob (Ethiopia), Paloma (Zambia) na Tatiana (Angola)


Mwisho akiwa na Jennipher na Paloma walioshiriki BBA Revolution

3 comments:

  1. kura nyingi sana kwa Mwishoooooooooooooooo

    ReplyDelete
  2. Mwisho big support from Tz, don't play with that chance bro

    ReplyDelete
  3. Mpigieni mtanzania mwenzentu

    ReplyDelete