WADAU NILIZIPENDA SANA HIZI SIMU ILA KAMA UTAHITAJI TEMBELEA DIDA CLASSIC BOUTIQUE.

Saturday, October 15, 2011 4 Comments

Hizi Simu jaman zinapendezajeee! Zipo ktk muundo wa magari tofauti tofauti

Muonekano wa mbele

Kushoto ni FERRARY na kulia ni PORSCHE

4 comments:

  1. simu nzurina ina mvuto, ni ya kichina ama ulienda nchi gani?

    ReplyDelete
  2. Jamani mbona mi nimzipenda hizo simu mpenzi. hebu nambie unaziuzaje mummy

    ReplyDelete
  3. karibuni tu maelekezo ya bei kila kitu mapatano msihofu kabisa

    ReplyDelete
  4. we mkali dida safi sana.

    ReplyDelete