Mzee Yusufu, Baikoko katika jukwaa moja KIBAHA CONTENA.. Tar. 2 Novemba!

Wednesday, October 19, 2011 0 Comments

Mfalme wa Taarab Tanzania, Mzee Yusufu sambamba na bendi yake ya JAHAZI MORDEN TAARAB wanatarajia kutumbuiza ktk Ukumbi maarufu wa KIBAHA Contena uliopo Kibaha nje kidogo ya jiji la Dar. Show hio kabambe itafanyika usiku wa tarehe 2 mwezi ujao wa Novemba ambapo Jukwaani pia kutapambwa na Show kali ya Baikoko kutoka Tanga

Kiongozi na muimbaji mahiri wa BAIKOKO, Super MAYA akifanya vitu vyake jukwaani


0 comments: