Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- THE AFTERMATH...
- SIPENDI WANAWAKE MNAOWANANGA WAUME WA WENZENU TUONYESHENI WENU JAPO KWA PICHA.
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
LEO KIDOGO UMEONGEA KITU CHA MAANA, WENGINE UTASIKIA OOH KAOLEWA NA MTU HANA PESA WAMEKUJA KUOMBA UGALI KWAKO KUPATA NI MAJAALIWA NA KILA MTU NA MAISHA YAKE WAJA
ReplyDeletewaambie hao,
ReplyDeletetenaaaaaaaaaaaaaa maneno kuntu baelezee bajue
ReplyDeleteDida wachomeeeeeeeeee,wachomeeeeeeeeeeeeee hahahaaaaaaa hilo nalo neno,tupa mawe gizani mama atsakaesema aiiii ujue limempata
ReplyDeletehe he he heeeeeeeeee mbavu zanguuuuuu!!!!!
ReplyDeleteDida weweeeeeee hujatulia... umenivunja mbavu zangu nusu nijikojolee.
Ashurah H
Haswa waambie hao Dida umenikuna wengine wanaona fahari eti ooh kaachwa mie nitaolewa bomani hajui kuiba mume wa mtu ipo siku kikaango kitageuka kwako hembu nipe neno kwa wale wanaojiona wamefika kuchukua waume za watu horiyaaa tenaaqa
ReplyDeleteDida ubaya wake haunihusu bibi baelezeee baelewe mamamamamamae
ReplyDeleteKula 5 bibi siiiijui kwani haipiti utoto angenifuata watupisheee tena km treni ikipita
ReplyDeleteDida ukiwachunguza hao wanawananga waume wa wenzao wengi wao ni Manungayembe,ambayo hata hayajawahi kunusa harufu ya ndoa,halafu uwa hawana lolote wanawatamani ndo maana wanasumbuka kuwachambua,na kuachwa wala si ajabu,kuna wengine wamo tu kwenye ndoa ndoano heri alieachwa, wengine mume hamjui kwa zaidi ya mwezi,wewe nawe utacheka alieachwa?kuna mwana fulani huku Mwanza kazi yake kuchongoa mdomo kwa ya wenzake,ya kwake tunayajua sana tuuuu,mume miezi 3 humjui,nawe unajinadi MRS mara MAMA .....unachekesha sana wewe bi kizee.
ReplyDeletewangu mfupi basi sipumui jamani!! bora umewafungashia ukawarushia kazi kwako...atakaye daka lake hilo
ReplyDeletejaman yan huwa wananikera kweliiiii....hao wanaosema mbaya ndio hao hao wanakuja kukuibia mume...niacheni nimempenda
ReplyDeletebinam safari umenitolea mbukwa, looo..!! umenikunaje..!! basi hao wakuwananga waume wa wenziwao, wao hata wakuwaambia mwenzangu basi njoo tuanze maisha hawana, akikutana na huyo mume wa mwenzie njiani shem naomba lift au kwenye baa 'shem naomba ninunulie bia moja'.. inahuuu!!!
ReplyDeleteshosti sikuwezi kabisa,
ReplyDeletemaneno hayo nimeyapenda sana na msg delivery kabisaaa bila chenga.
nimecheka mpaka basi yaani narudia kusoma mara mbilimbili hapa.
ktk siku uliongea maneno ya maana basi ndo leo jamani unapomnanga mume wa mwenzio wako kakamilika hauwezi jua wamependaniana nini halafu usimzodoe mwenzio kisa kaachika hakuna mtu anayependa kutoka ktk ndoa yake ikifikia hatua akaamua kubwaga manyanga ujue kafika point of no return kwa hiyo ulitaka aendelee kuishi maisha ya kumnyima raha kisa asisemwe kaachika waja muwe na uelewa aliachika malikia cleopatra mrembo wa misri aliyevunja rekodi dunia nzima kwa uzuri wake utashangaa nini kwa mwingine keep it up dida
ReplyDeletekwa mara ya kwanza umeongea point. uzuri wa mtu upo machoni pa mtu. kila mtu na chaguo lake usimlazimishe mtu achague mtu umtakae ww. mfano wadada wa ss hv wanaonekana wanbabaikia wanzungu mm jamani na mwanaume mweupe tofauti kbs awe mzungu mwafrika au mwarabu. ila siwalaumu maana ndio machaguo yao na wala siwezi kuwaponda. uzuri wa mwanamke au mwanaume unaliwa, cha muhimu ktk maisha ni upendo wa dhati na km mtu umempenda huwezi kuziona kasoro zake za kimaumbile. ss wakristo tunaamini kuwa tumeombwa kwa mfano wa mungu
ReplyDeletemimi wangu ni mrefu halafu amejazia na mnene kiasi mm mwenyewe ni mdogo mdogo basi nasemwaje ohh kaolewa na jitu zima, ohh kaolewa na baunsa, ohh mara mwanaume kuna siku atanivunja, yaani wala siwajali, mm na mwanaume mdogo mdogo tofauti kabisa maana wanawake mara nyingi tukizaa tunaongezeka. yaani watu wanamenono, serikali ikiweka luku kwenye midomo halafu itoze VAT watu watafilisiwa mali kwa kudaiwa kodi
Safi wakome
ReplyDeleteImetulia
ReplyDeleteWAAMBIE BWANA WAELEWE KWANI KUNA WATU WANAPENDA SANA KUWANANGA WANAUME WA WENZIO. MARA UTAWASIKIA JAMANI MBONA MZURI KWA NINI UMEENDA KUOLEWA NA YULE MZEE. NYIE INAWAHUSU NINI?
ReplyDelete