BAADA YA KUWACHABANGA GLOBAL PUBLISHERS BAO 4 - 2, TIMES FM TULIKULA BATA KWA USHINDI HUO......

Saturday, October 15, 2011 0 Comments

Big Boss Rehure Nyaulawa, Cliford Ndimbo na mtoto wake, Lil Ommy 'mzee wa Production' wakijiachia baada ya ushindi

Presenta wa Times ONE B akiwa ameshikilia simu aina ya PORSCHE, kushoto Michael Saduka na Mdimu 'mzee wa Kituo Cha Kazi'

Wadau niliipenda hii simu, nikashuka nayo BONGO...

Swagga ziko ON.....

Full nderemo, Global kiliooooo.. Hapan chezea Times
Kushoto Adam 'mzee wa Vijimambo', Dida na Aisha Mbegu

Dj Q, mdau na Dj KU

Mechi ya kirafiki kati ya Redio Times na Global Publishers ilifanyika jana ktk viwanja vya Sinza Lions, ambapo Times iliwaachia kilio ndugu zetu wa Global baada ya KUWAGONGA 4 kwa 2 KiAfrika Zaidi!
Ingawa nilichelewa kidogo kwa sababu ya Safari, nahisi ningewahi mwenyewe ningeongeza mawili zaidi kutoka ktk guu langu la kulia!


0 comments: