JANA TULIKULA BATA NA MCHEZAJI WA ZAMANI WA MANCHESTER UNITED BRYAN ROBSON NO 7 MGONGONI AIRTEL NDIO WALIMLETA MCHEZAJI HUYO NCHINI BOFYA .

Saturday, October 29, 2011 2 Comments

Roby akiwashukuru Airtel na wageni wengine waliofika hapo Sea Cliff na kutuaga sbb usiku huo huo alikuwa akirudi UINGEREZA, ni baada ya kufungua kliniki ya Airtel rising stars jijini DSM
Nikala shavu mtoto wa kike la kujifotoa nae hapana chezea,sorry ma hubby ni picha tu.
Akisaini picha ambazo tulipewa hapo.
Aaaaaa huyo ni kwenye picha enzi zake akilisakata kabumbu.
Nilisainiwa hapa na Robyson.
Muonekano wa Banners za Airtel Rising Stars nikapozi.

Hawa ndio watoto waliochaguliwa katika AIRTEL RISING STARS Wamepata nafasi ya kufundishwa na makocha kutoka manchester united.Ni katika kuibua vipaji Airtel mko juuuuuuu.
Dida,Mamaa Beatrice Singano wa Airtel.
Dida,Massanja kutoka Airtel.
Mivinyo ya kumwaga.
Wakati wa kuongeza unene ulifika Dida,Noel kutoka Airtel.
Cheeers.
Tulijipozishaje?
Lennia kutoka airtel Malawi,Dida.
Lilian kutoka airtel Kenya,Dida.

2 comments: