Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza

Tuesday, July 20, 2010 0 Comments

Msanii wa kundi la Taarab la New Zanzibar Stars Hassan Ally alizindua album ya peke yake ya 'Aibu yao aibu yetu' ktk ukumbi wa Vatican Sinza jijini DSM mwishoni mwa wiki iliyopita

Omary Tego na dadaake Maua Tego walikuwepo kumsindikiza Hassan

Malkia wa mipasho nchini Tanzania Hadija Omary Kopa akiwajibika jukwaani ktk uzinduzi huo

Maua Tego mamaa wa Coast Modern Taarab

Safu nzima ya uitikiaji

Show ilikuwa bab kubwaaaa

wajina

Kaazi kwelikweli....

0 comments: